Cost ya kushape meno | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Cost ya kushape meno

Discussion in 'JF Doctor' started by Little Angel, Sep 3, 2011.

 1. Little Angel

  Little Angel JF-Expert Member

  #1
  Sep 3, 2011
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hello,
  naomba kujua ni wapi naweza kumpeleka mdogo wangu akarekekebishiwe meno ya mbele maana yameota vibaya. Na je inaeza cost bei gani?
  Asanteni sana.
   
 2. Mr's goole

  Mr's goole Member

  #2
  Sep 3, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mpeleke Hospitali watamng'oa meno. Kuhusu bei watakutajia wenyewe. Nilishawah kumpeleka mtoto wa rafiki yangu,
   
 3. Little Angel

  Little Angel JF-Expert Member

  #3
  Sep 3, 2011
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  <br />
  <br />
  JE YATAOTA MENGINE MAANA ANA MIAKA 17
   
 4. S

  Sngs Senior Member

  #4
  Sep 3, 2011
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hapana hayawezi kuota menine na kama yataota asi itakua baaadae sana we tafuta tu sehem ya kumshape!!
   
 5. Liz Senior

  Liz Senior JF-Expert Member

  #5
  Sep 3, 2011
  Joined: Apr 19, 2007
  Messages: 485
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kama upo Dar Piga namba kati ya hizi uwasiliane na wahusika kwa Dr. Shabbir - 0222113689/0753077076/0222116630/0754262063.

  Gharama nafikiri inategemea na nini kitafanyika. Ni process ya muda mrefu kidogo. Nilimpeleka kijana wangu pale...I am not regreating. Alikuwa anataniwa shuleni wakimwita Sungura, leo nikiangalia picha zake za zamani ni tofauti kabisa. Imempa hata confidence. Ilichukua kama miaka miwili hivi kukamilika japo sasa bado anavaa chuma kwa ajili ya kuendelea kuyaweka sawa. Yeye alianza akiwa na miaka 14. Kuna gharama za kubwa unapoanza japo huwa anaruhusu malipo as you go on. Na kuna gharama za kila unapokwenda kukutana na mtaalamu kukaza vyuma. Ana Dr mzuri sana toka Kenya aliifanya kazi vizuri.

  Kila la heri
   
 6. Liz Senior

  Liz Senior JF-Expert Member

  #6
  Sep 3, 2011
  Joined: Apr 19, 2007
  Messages: 485
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kung'olewa inategemea yamekaaje. wakiamua kuyang'oa watafanya hivyo ili kutoa nafasi yanayobaki kujipanga vizuri. Ina maana hayo yatakayotolewa hayategemewi kuota tena. Huwa wanaondoa ya pembeni kwenye kona za midomo na yatakapokaa sawa wala hutagundua kama kuna meno yalitolewa. hiyo ndio njia ya kurekebisha
   
Loading...