Cost of electricity per unit in EAC

Uchumi wa nchi huangaliwa kupitia GDP,sio PPP. Ama una maana uchina ipo chini ya Norway in terms of economic power?
1572342260036.png
 
Ha ha ha mbafu zanguuuu
Kwa hiyo nyie ni sawa na Japan?? Na kes yenu inaizidi thamani Yen ya Japan. Basi nyie uchumi wenu uko juu zaidi ya Japan.
Babu, hapa hujanielewa vizuri.

And on that case, currency ya Japan ina value sawia na ya Kenya.
 
Anzisha thread inayoongelea manufacturing. This thread is about power cost.
Niongeze VOLUME?
Kwani unaeza ongea kuhusu power cost na ukose kuongea kuhusu manufacturing? Kuwa serious na uwache utoto. The reason for reducing power cost is to boost manufacturing. Lakini wewe ukiulizwa manufacturing yenu iko vipi unakuwa mkali kama mbwa koko.
 
Unataka kunipangia sasa cha kuongea. Kile unachofikiria wewe ni chako binafsi usiwapangie wengine.
 
Back
Top Bottom