Cost of electricity per unit in EAC

Venus Star

JF-Expert Member
Dec 6, 2018
19,656
59,718
Umeme ni kitu cha muhimu sana kwa maendeleo ya nchi. Leo ningepeda tujadili bei za umeme kwa unit (kWh).
Tujadili kwa kina na kisha tueleze kwanini bei zinakuwa hivyo. Hata hivyo, tunatakiwa tujadili kwa undani kabisa chanzo kipi cha umeme kinakuwa cha bei nafuu kuliko kingine.

Basi ninaanza kama ifuatavyo:-
CountryCostin USD
Kenya23.47Ksh$0.23
Tanzania100.0Tsh$0.043
Uganda250.0 Ush$0.067
S. Sudani
Rwanda182 Franc$0.20
Burundi
Source of Information:


Kenya
1572339075919.png


Tanzania:
1572339129338.png





Uganda:
1572339179404.png




Rwanda
1572339231765.png


Karibuni tujadili sasa.
 
Umeme ni kitu cha muhimu sana kwa maendeleo ya nchi.
Leo ningepeda tujadili bei za umeme kwa unit(kWh)
Tujadili kwa kina na kisha tueleze kwanini bei zinakuwa hivyo.
Hata hivyo tunatakiwa tujadili kwa undani kabisa chanzo kipi cha umeme kinakuwa cha bei nafuu kuliko kingine.

Basi ninaanza kama ifuatavyo:-
CountryCostin USD
Kenya23.47Ksh$0.23
Tanzania100.0Tsh$0.043
Uganda250.0 Ush$0.067
S. Sudani
Rwanda182 Franc$0.20
Burundi
Source of Information:


Kenya
View attachment 1247829

Tanzania:
View attachment 1247830



Uganda:
View attachment 1247831



Rwanda
View attachment 1247832

Karibuni tujadili sasa.

Are you trying to say that Kenya has been obliterating you in manufacturing with such high prices? 😂 😂 😂
Bongolala bure.

What will happen when we lower our prices then? Where will you hide?
 
Uchumi upi huo wa kwenye makaratasi 😂😂😂
Uchumi usioweza kufanya chochote hadi mkope,
Uchumi unaotegemea misaada ya chakula,
Uchumi unaokopa deni ili ilipe deni,
Uchumi unaomilikiwa na wachache,
Jikite kwenye mada.
Okay, Japan wako na deni inayokaribia mara mbili zaidi ya GDP yao, pia tuseme uchumi wa Japan ni wa makaratasi?
 
Back
Top Bottom