Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Wapi Kimara-Kibaha yenye ilikua inaenda kuifunika Thika Superhighway ??
 
Mkuu, huo ni mfano tu wa mambo yatakavyokuwa. Subiria mradi kuanza kisha utapata majibu. Subiria kuona more than 30 interchanges namna hii πŸ‘‡πŸ‘‡

High-five, Texas.
Yaani tunaileta Amerika ndani ya Afrika Mashariki so hakutakua na ulazima wa ww kupanda ndege kuenda Amerika kushangaashangaa na kukenua mimeno. Mambo yote hayo utayapata Kenya.
Kisha huo mradi haujengwi na Kenya, inajengwa na PPP so haitakua mzigo kwa mwananchi.
Check hapa chini kisha utanielewa πŸ‘‡


😁😁
 
pole kama nimekukwaza 🀣
 
Baada ya Dar kusikia kuhusu Nbo-Msa Expressway, prepare for a Dar-Dom Expressway (that will never materialise) soon!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…