Kamanda wa 'kinyang'au' Lewis254 kama nakuona vileπ
Muulize Boni Yaiπππππ noma sana aisee!
vipi treni ya mizigo inaanza kazi lini?
π€£π€£π€£Mlishawahi kusema Bukoba kuipita Dubai kabla ya 2017....
Kiko wapi sasa ??
NCHI HAKUNA VIONGOZI WA KUFANYA HAYO.
Die Hard Kamanda no retreat no surrender Jeshi la mtu mmoja wenzake wote washakimbia kabaki mzalendo wa kweliπ€£π€£π€£π€£π€£Kamanda wa 'kinyang'au' Lewis254 kama nakuona vileπ
tumeshawazoea πΉπΉπΉMradi umesimama kweli kinacho endelea ni zuga tu
Naam! π―%Hii miradi haishi leo wala kesho
Ova
Kampuni ya ngapi hiyo? Kuanzia Betchel?
hawa jamaa ni wabishi sana