Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,212
- 6,972
Kweli!! Tena nilikua sija angalia vizuri tuta lao wanalilinda kwa mawe na kokote! No wonder mvu ili fanya yake.. huo ujenzi wa kupanga mawe ni very cheap. Hilo zege lilo wekwa na Yapi ni mkataba. Compare and contrast, the beautiful and the ugly View attachment 962900View attachment 962902
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Wapumbavu humu ndani! hudai Chinese first class! Halafu mifereji haipo smooth haijanyooka na pia mawe yamepangwa!
Kwa SGR ya Kenya Drainage wanamwaga zege alafu juu ndo waongezea hizo tiles kulingana na material zinazopatikana kwa hio section
Hii hapa picha ya section nyengine ikijengwa, hapo nimeweka mishale miwili inaonyesha eneo lilomwagiwa zege na eneo lilitobandikwa tiles
Mmeshindwa kujibu maswali muhimu kwa kuleta data , mmebaki kutafuta visababu vya kujiliwaza na sababu za amabzo hazipimiki!!!