PowelTz
JF-Expert Member
- Sep 9, 2018
- 596
- 373
Povu gani!!?? hahaha yetu itakimbia mara 2 ya upuuz wa nyani wa kenya,Muongezeeni maji huyu, Povu lina mfunika
Povu gani!!?? hahaha yetu itakimbia mara 2 ya upuuz wa nyani wa kenya,Muongezeeni maji huyu, Povu lina mfunika
No vizuri ukawa na ufahamu, sio kubwabwaja. Jeshi ni lazima wajifunze ujenzi, na uendeshaji as reli. Mtakapo goma kazi as kuendesha. Jeshi litachukuwa hatamu. No sawa na kuongoza ndege auto madaktari wakigoma kazi housekeepers kama kawaidaNaona mnahamisha magoli kwa kudai eti Jwtz wanajenga reli wakati wananchi watanzania hawana ajira? Hii SGR kama haitapotea hivo tu hewani itakamilika 2035 earliest.
Ushahidi wa 28% kwa Picha sio video ya wakuu wa serikali wakirandaranda same place different times na pia mlete hadi locations with shots taken from a distance to ascertain authenticity of the said/ purported different locations tena sio kwa tweets. Tunawajua kwa kuongoza Afrika kupika data na giving false information.
wamesema wana option ya ku-upgrade, wasichojua ni kwamba kuna gharama kubwa tu kwa ajili ya ku-upgrade, ok tuseme wataupgrade then gharama ya reli yao itazidi kuwa kubwa zaidi, maana hata huo mtambo wa gongo inabidi wauache wanunue engine mpya so gharama si ya kitoto,With all that halafu ni kwa ajili ya mtambo wa gongo!
Avd Speed Tz 160km/hrPovu gani!!?? hahaha yetu itakimbia mara 2 ya upuuz wa nyani wa kenya,
wamesema wana option ya ku-upgrade, wasichojua ni kwamba kuna gharama kubwa tu kwa ajili ya ku-upgrade, ok tuseme wataupgrade then gharama ya reli yao itazidi kuwa kubwa zaidi, maana hata huo mtambo wa gongo inabidi wauache wanunue engine mpya so gharama si ya kitoto,
Ati 35 mln tonnes! Keep lying urself!Avd Speed Tz 160km/hr
Avg Speed Ke 120km/hr
Carrying capacity per year TZ = 18 Million Tonnes minimum - Maximum 25 Million tonnes
Carrying capacity per year Ke = 22 Million Tonnes - Maximum 35 Million tonnes
Utahitaji Tafakari ya babu ndo uelewe hii biashara inavyopelekwa
Ndio na pia nimetravell na SGR Kenya Mombasa to Nairobi, wewe je?wewe ulishawahi kuwa ndani ukakuta kuna mizigo
Unasikia wivu? Jinyonge buda.Hahaha sasa hii uchafu ya 80km/h ndiyo ya kufurahia
Tuonyeshe yenu ya stima.wamesema wana option ya ku-upgrade, wasichojua ni kwamba kuna gharama kubwa tu kwa ajili ya ku-upgrade, ok tuseme wataupgrade then gharama ya reli yao itazidi kuwa kubwa zaidi, maana hata huo mtambo wa gongo inabidi wauache wanunue engine mpya so gharama si ya kitoto,