Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,212
- 6,972
Hata nafikiri Kenya Police wana helicopter nyingi kuliko the entire TPDF!Hio inaonyesha kwamba Kenya tuna uwezo wa kuservice na kumaintain ndege kwa miaka mingi. Halafu Airforce ya Kenya ina helicopters zaidi ya 30 na karibu zote zimenunuliwa since 2011. Kwanza tuna MD-500 nyingi sana.