Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

hamna haja kufunikwa aesthetic yake itapotea steel ikisukwa halafu ikipigwa rangi then ikachanganywa na glass roof inapendeza baba zaidi ya zege asikudanganye mtu ! Halafu ni rahisi ku-repair yaani una-unscrew the steel unapachika nyingine!

angalia futuristic structures ni mwendo wa steel, glass and cladding

52000 tonnes of steel!


Kwenye platform zitabaki wazi,
 
nimekuelewa ulikuwa unamaanisha cladding ya majengo sio? ila nadhani anamaanisha those pillars/poles at the train platforms ("welded iron bars")? nadhani kule kwao mchina kasimamisha ma-concrete!

1000x-1.jpg


kenya-sgr_660x400.jpg
wakenya bhana,,,,haya mambo yakushika kipaza nakuanza kusema haloo haloo kama muuzaji wa dawa za panya yadhapitwa na wakati.....yaani wameshindwa kuutouch speakers kwenye building
kweli yajayo yanafurahisha
 
wakenya bhana,,,,haya mambo yakushika kipaza nakuanza kusema haloo haloo kama muuzaji wa dawa za panya yadhapitwa na wakati.....yaani wameshindwa kuutouch speakers kwenye building
kweli yajayo yanafurahisha
watajua wapi mambo ya ki-automation and ki-digitali ni mwendo wa Mchina ku-cut cost ku-attach speakers si level ya SGR class one! 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁
 
Glass will require a lot of cleaning and maintenance. Concrete is good for a rural station because it can take a lot of dirt and beating from people and nature!
 
Naivasha is also a popular tourist destination. Hell's Gate National Park (the main locations for Lion King, including Pride Rock and the Gorge, are modelled after the park
 
zitafunikwa kivip? sijaelewa nadhani sakafu tu ndo itakuwa covered si pillars/poles? ama? Nchi zote zilizoendelea ni mwendo wa steel pillars!

cologne-central-station--platform--intercity-ice--cologne--rhineland--north-rhine-westphalia--germany-928477536-5c52021046e0fb00014a2fd3.jpg


depositphotos_164634342-stock-photo-ice-train-waiting-at-german.jpg
Nakumbuka ukicheka rail platform za Kenya last month, hahahahahaha kumbe ulikua haujaona zenu hahahahahaha, yes mawweka steel pillars alafu wakaweka Mabati kama canopy, Mabati!!1! hahahahahah

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania - JamiiForums.mp4_20191003_101136.866.jpg

Alafu BTW, hizo steel si stainless steel, Stainless steel hazipakwi rangi!




Hebu sasa linganisha za hii platform ya Voi station

Voi-SGR-station_1_PICHADUKA.jpg


2ba3ae18-5c96-4203-9fbc-5a84d77bca06-840x1024.jpg

47998780182_515e1a5606_b.jpg

47998778582_b4481d28f8_b.jpg

47998791423_6ea46f86f7_b.jpg
 
Back
Top Bottom