Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,852
- 103,715
- Thread starter
- #4,301
Meanwhile
The whole of Kenya haina cable stayed bridge!Mambo ni moto, kuna kuna cable stayed bridge within the viaduct....
Ujenzi wa low quality rail umefika wapi Bantugbro? November ipo around the corner.Mambo ni moto, kuna kuna cable stayed bridge within the viaduct....
The whole of Kenya haina cable stayed bridge!


unashundilia misumali mkuu

Ujenzi wa low quality rail umefika wapi Bantugbro? November ipo around the corner.
Subirini ,namba mtaisoma kidogo kidogo siku zinavyo Kwenda 😁Ujenzi wa low quality rail umefika wapi Bantugbro? November ipo around the corner.
ngoma ni ile ile tofauti ni rangi tu
sawa mzee wa theoryUnataka proofs za nini wakati kila kitu nimeshaeleza.
Angalia viaduct inajengwa kwa ufundi na quality ya hali ya juu, wanaweka mpaka waterproofing membrane pale juu, nyie ya kwenu mliweka? ....Ujenzi wa low quality rail umefika wapi Bantugbro? November ipo around the corner.
Kuna daraja gani likakosa water proofing jameni??? Hata hio ya Tazara si ingekua imeanguka baada ya hii miaka yote na misimu ya mvua tangu 1970?Angalia viaduct inajengwa kwa ufundi na quality ya hali ya juu, wanaweka mpaka waterproofing membrane pale juu, nyie ya kwenu mliweka? ....
China Class 1 = TZARA🙂
Kuna daraja gani likakosa water proofing jameni??? Hata hio ya Tazara si ingekua imeanguka baada ya hii miaka yote na misimu ya mvua tangu 1970?
Wacha ujinga all of ur viaducts plus embankments r having no waterproof! Even drainage system is poor! A reason this happenedKuna daraja gani likakosa water proofing jameni??? Hata hio ya Tazara si ingekua imeanguka baada ya hii miaka yote na misimu ya mvua tangu 1970?
hiv mnajisikiaje mmejenga reli ya aina hii dizain ya TAZARA kwa gharama kubwa zaidi ya electrified reli inayojengwa Tanzania