Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Machinga wanatoa ushirikiano mzuri tuu km hujui wanaosumbua wafanyabiashara wakubwa waliozoea wizi toka enzi za kikwete.
Campony au corporation.
Government corporation zinazoleta faida kuna TRC moja wapo ya corporation inayoleta faida mpk wafanyakaz wengine wanalipwa kupitia TRC unalipi lingine la kuuliza
ccm hoyeeee!!!

 
Ni vile hawajajua wabongo ni watu wa aina gani maanake comments za Wabongo kwa Kenya kila mahali ni negative - hata wale ambao hawapo Jamii wako negative towards Kenya. Mimi pia nilikuwa hivo kabla ni interact na Watanzania kwenye forums kama hii na Skyscrapercity. Watanzania wana roho mbaya sana dhidi ya Kenya - ni kama kila Mtanzania anafunzwa kuichukia Kenya kuanzia utotoni hata kabla hajakutana na Mkenya hata mmoja.
Ngoja nikupe siri, watanzania kama watanzania hatuwachukii wakenya ila tunacho tofautiana ni mitazamo. Sisi tumelelewa kuupenda na kuuenzi uafrika wakati nyinyi mmelelewa ku uhusudu umagharibi, mko radhi hata kuuza utu wenu kwasababu ya kuwa karibu na wazungu, kwa faida ya muda mfupi. Sasa hapo ndipo tunapo "clash" kwa kuwa hatujui ni nani yuko nyuma yenu.
 
Gogo la Tazara liko poa sana, enzi zetu wakati tunasoma tulikuwa tunapanda bure, actually tulikuwa tunarejeshewa na GoT pesa za nauli.

Mby to Bongo overnight trip tulikuwa tunashinda kule behewa la restaurant tukizipiga Mosi barida za Zambia, Ilikuwa safi sana, vijana siku hizi mnakosa mengi, ngoja tusubiri SGR tuone itakuwaje.
Kuna jamaa mmoja alikuwa akilalamikia spidi kali ya SGR kufika Mwanza itazuia fursa, akisema zamani safari siku tatu mtu hata kama hawezi kuzoza akikaa na demu muda mrefu wanazoeana na kuna wengine walipata mke kabisa wakiwa safarini.
 
Ngoja nikupe siri, watanzania kama watanzania hatuwachukii wakenya ila tunacho tofautiana ni mitazamo. Sisi tumelelewa kuupenda na kuuenzi uafrika wakati nyinyi mmelelewa ku uhusudu umagharibi, mko radhi hata kuuza utu wenu kwasababu ya kuwa karibu na wazungu, kwa faida ya muda mfupi. Sasa hapo ndipo tunapo "clash" kwa kuwa hatujui ni nani yuko nyuma yenu.
Hivo ndivyo mnavyojidanganya wakati mko radhi Mwafrika asifaidike nchini mwenu ila hamna shida akifaidika Mwarabu? Acheni kujidanganya.
 
Ufaidike nchini kwetu? Mwafrika yupi anafaidika nchini kwako?
Sasa mbona mnajifanya Pan-Africanist kama hamuwezi kubali Mwafrika mwenzenu afaidike? Waafrika wengi wanafaidika kwetu, Wabongo ni uzembe tu unawasumbua ndio maana hamuwezi.
 

Kumbe hivi ndo wanahabari huchanganya watu kwa kupitia vitu juu juu, eti the SGR only transported 4 million tonnes and failed to meets its target of 8 million....
Targets usually have a timeline, a set date when they are supposed to be reached, mbona hawajataja ni lini hii 8 million inafaa kua ilifikiwa lini? SGR was launched Jan 2018, we are now in June 2019.... Thats 1.5 Years later on a railway that has a span life of 100 years !!!!! Did they want 8 million to be transported on the very first year of operations!!???

The target set out on the SGR was to reach 8 million tonnes by 2021/2022 or roughly 5 years after starting operations ...... And to reach 10 million tonnes by 2025...... This can all be found in the feasibility study and the ESIA document, We are not even in the short term period of the SGR report which is from 2025-2030... There are atleast 2.5 years left before anyone can start claiming the SGR has not met its target of 8 million tonnes... Watu waache kukurupukwa, if there is nothing to report, don't make stuff up!

1115071
 
Back
Top Bottom