Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Unajua hyo 24 billion tulikua tunadaiwa lini toka 2017 na den limepunguzwa ww hyo 50 billion ni ya mzungu bado ma billions ya mchina yan unakeketwa kotekote au unajitoa ufaham
halaafu kumbe hujui hesabu...deni la kenya umesema ni $50bln so $99bln minus $50bln=$49bln

sasa tuje kw magu $60bln minus $24 bln=$36bln...

sasa hapo ni nani kakopa sana...bwahahaaaanadhani umeshanielewa ...ba hzo data ni according to gdp
 
Wewe had sasa hv una life gan na hayo maden na subir mchina awakekete mumlipe hela zake
nynyi hamyezi kopa...manake mkikopa tu tena tu nchi inafilisika ...bwahahaaa...hemu fikisheni hyo $50bln km kenya muone mtabakisha nn
 
Tatizo lenu Wakenya mnafikiri Tanzania ni ile ya miaka mitano iliyopita...Now Tanzania is flying if u continue mocking Tanzania’s development instead of making urs then u r subjected to failures, sooner rather than later u will bow down to chinese.

Chinese has realized of what is happening in East Africa specifically Tanzania in its tremendous development in a short period of time. They stopped their fund for your SGR after figuring out that Tanzania is doing a dramatic renovations of its ports that will attract more cargos that leads to the demise of Mombasa port and hence the chinese money would have gone for nothing.
 
Daaah kaka ya kweli hayo

Tazara Fly over,upanuz wa barabara morogoro road ununuaji wa ndege,urekebishaji na uboreshaji wa metre gauge railway hvyo ni too much vinakutosha
nitajie miradi iliyokamilika wewe...unanitajia mm upupu...tazara kwanza mmepewa donation na japan..yani hapa hamunifunzi kitu..kadanganye ccm wenzako
 
Tatizo lenu Wakenya mnafikiri Tanzania ni ile ya miaka mitano iliyopita...Now Tanzania is flying if u continue mocking Tanzania’s development instead of making urs then u r subjected to failures, sooner rather than later u will bow down to chinese.
Chinese has realized of what is happening in East Africa specifically Tanzania in its tremendous development in a short period of time. They stopped their fund for your SGR after figuring out that Tanzania is doing a dramatic renovations of its ports that will attract more cargos that leads to the demise of Mombasa port and hence the chinese money would have gone for nothing.
nitajie miradi yote ya magu iliyokamilika..dili la korosho tu lilibuma...vitambilisho vya machinga navyo eti vinampa shida....
alafu nitajie kampuni yyte ya GOT ambayo inaleta faida...bwahahaaa...mnajifanya wajuwaji..kumbe hamna lolote
 
Asa unajua ww pimbi uliepindukia unajua maana ya mirad fala wewe.
Nakujibu tena miradi iliyokamilika ni upanuz wa barabara ya morogoro road,uboreshaji wa metre gauge asa ww unataka mirad gani au hujui maana ya project nyang,au mla sukuma week wewe unabwabwaja tu.
nitajie miradi iliyokamilika wewe...unanitajia mm upupu...tazara kwanza mmepewa donation na japan..yani hapa hamunifunzi kitu..kadanganye ccm wenzako
 
Machinga wanatoa ushirikiano mzuri tuu km hujui wanaosumbua wafanyabiashara wakubwa waliozoea wizi toka enzi za kikwete.
Campony au corporation.
Government corporation zinazoleta faida kuna TRC moja wapo ya corporation inayoleta faida mpk wafanyakaz wengine wanalipwa kupitia TRC unalipi lingine la kuuliza
nitajie miradi yote ya magu iliyokamilika..dili la korosho tu lilibuma...vitambilisho vya machinga navyo eti vinampa shida....
alafu nitajie kampuni yyte ya GOT ambayo inaleta faida...bwahahaaa...mnajifanya wajuwaji..kumbe hamna lolote
 
Asa unajua ww pimbi uliepindukia unajua maana ya mirad fala wewe.
Nakujibu tena miradi iliyokamilika ni upanuz wa barabara ya morogoro road,uboreshaji wa metre gauge asa ww unataka mirad gani au hujui maana ya project nyang,au mla sukuma week wewe unabwabwaja tu.
heheeeee...mm usiniletee vitu nusu nusu hapa...nataka vitu vyenye vimeanzishwa na kukamilishwa na huyo mkulu...au uunataka kuniambia hyo meter gauge mmeshamaliza kuikarabati,hyo stiglers george mmeshaikamilisha,atcl kuanza safari za over seas...unakuja tu hapa kubwata bwata
 
Nini kenyatta amefanya? Miradi yote yake ipo ICU..Laptop? Viwanja? Umeme? Galana kulalu? Green field terminal? Pipeline? Lamu port? SGR sasa miaka 8 ni kipande cha 400km kinafanya kazi..imagine miaka nane😂😂😂 hahaha na Reli sasa imezikwa porini
 
Matako ww metre gauge imeshamalizika ukarabati wake kwasababu ukarabati wake ulianza toka 2017 nyang,au ww
heheeeee...mm usiniletee vitu nusu nusu hapa...nataka vitu vyenye vimeanzishwa na kukamilishwa na huyo mkulu...au uunataka kuniambia hyo meter gauge mmeshamaliza kuikarabati,hyo stiglers george mmeshaikamilisha,atcl kuanza safari za over seas...unakuja tu hapa kubwata bwata
 
Dah hawa kweli mbuzi then wanajisifia wana uchumi mkubwa
Nini kenyatta amefanya? Miradi yote yake ipo ICU..Laptop? Viwanja? Umeme? Galana kulalu? Green field terminal? Pipeline? Lamu port? SGR sasa miaka 8 ni kipande cha 400km kinafanya kazi..imagine miaka nane hahaha na Reli sasa imezikwa porini
 
Nini kenyatta amefanya? Miradi yote yake ipo ICU..Laptop? Viwanja? Umeme? Galana kulalu? Green field terminal? Pipeline? Lamu port? SGR sasa miaka 8 ni kipande cha 400km kinafanya kazi..imagine miaka nane😂😂😂 hahaha na Reli sasa imezikwa porini
bwahahaaa!!!!naona imekuingia...duh....kw hasira hizi leo ndio nmeona kumbe magu hajafanya chochote....umeme,usiongee kabisa...fungua thread uumbuke...lamu port usiitaje kabisa, kwanza naona ile thread yake yakuumiza sana ukifikiria bagamoyo port...hhhhh
 
sgr kenya naona mkikuyu imeanza 2011 construction...duh...kumbe mpka wakikuyu huu mradi unawaumiza kisiri siri...mpka unajiliwaza...kiufupi siez kuelemisha kuhusu ujenzi...we komaa na ulimbukweni
 
Machinga wanatoa ushirikiano mzuri tuu km hujui wanaosumbua wafanyabiashara wakubwa waliozoea wizi toka enzi za kikwete.
Campony au corporation.
Government corporation zinazoleta faida kuna TRC moja wapo ya corporation inayoleta faida mpk wafanyakaz wengine wanalipwa kupitia TRC unalipi lingine la kuuliza
trc ipi hyo...ile ile ya ccm...wacha wee..tangu lini ikatengeneza faida...
alafu kqwaida yenu wabongo...mtu akianza kunufaika au kukupita kimaisha ni mwizi...au km anaipinga serikali ni mwizi pia halipi kodi
 
bwahahaaa!!!!naona imekuingia...duh....kw hasira hizi leo ndio nmeona kumbe magu hajafanya chochote....umeme,usiongee kabisa...fungua thread uumbuke...lamu port usiitaje kabisa, kwanza naona ile thread yake yakuumiza sana ukifikiria bagamoyo port...hhhhh
sgr kenya naona mkikuyu imeanza 2011 construction...duh...kumbe mpka wakikuyu huu mradi unawaumiza kisiri siri...mpka unajiliwaza...kiufupi siez kuelemisha kuhusu ujenzi...we komaa na ulimbukweni
SGR Ilianza 2010 Raila na Kibaki wakafanya feasibility wakapatia uhuru 2013...Mpaka leo 9 years kenya imezindua 400km za gari moshi...mtambo wa 1930's
 
Back
Top Bottom