Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,202
- 107,801
- Thread starter
-
- #2,281
GPS vs block system! Be frank my friend which one is technological advanced system!? 😅☝I can't tell you that with certainty.... But I can tell you for a fact China has more rail network than the whole of Europe combined.... More people travel by rail in China than in Europe and Chinese train are more punctual than European trains with the exception of Scandinavian countries like Netherlands,swizaland etc .... Of course Japanese trains are the most punctual in the world (on avg) and they use a completely different model than what is currently used in Europe....
I would say the best system is the one that results in optimal performance of a rail track... if I remember correctly our rail track can only reach about 40% of its capacity as is currently constituted... Both Tz and Ke will use less than 100 trains on their respective rails, I can bet you even the old traffic technology (when steam engines were usedd) of using hand signals to direct trains to different tracks and writing daily train schedules on a piece of paper would work fine and there will be no collisions or delays at all... I mean Even a trained 15 year old will be able to come up with a daily schedule for less than 50 trains and be able to account for everything .. on the other hand Acountry like Germany has more than 15,000 daily trains on 41,000km of track, you can't even begin to comprehend that on your imagination ...
Once again comparing things that cannot even begin to be compared!!!!!!!! your ETCS also uses a block system know as "Moving block system"GPS vs block system! Be frank my friend which one is technological advanced system!? 😅☝
Under specific permission PR stunt!Kuna mashindano ya SGR photography competition hufanyika kila mwaka tangu 2017 ambapo wakenya wanashindana kupiga picha na mshindi atakaetoa picha nzuri zaidi anatuzwa na CRBC... Fwatilia hii channel uone cometiotion ya 2017 SGR Photography Competition
Mshindi wa huo mwaka alipewa 400,000 Ksh ambayo ni sawa na Tsh 9,257,080 m
The photographers were requested to submit their original works for consideration. The top 25 pictures and the photographers were to be selected for a chance to compete for the top prize in the competition.
The award gala to announce the winners took place on April 21, 2017 in Nairobi.
Kisumu Based Photographer is 1st Runners Up in the SGR Photography Competition - Amazing Kisumu
- The top prize was KShs 400, 000, the runner up KShs 200,000 and the third position KShs 100,000.
- There was also cash prizes for 7 auxiliary positions.
Hata wewe ukitaka 9 Million Tzh unaweza ukapiga safari na Camera yako ujisajilishe ya Competition ya SGR phase 2 mwaka huu
Washindi tofauti
Huyu jamaa ndo alishinda 2017
CRBC awards winners of the 2017 edition of the SGR photography competition | CGTN Africa
You are very useless Geuza Udinywe.Under specific permission PR stunt!
Competition hufanywa in collaboration with media association of Kenya ili kuhakikisha professionality.... MAK ndo inafanya kila kitu from betting to confirmation Kama ni original work lakini unaruhusiwa ku submit picha zako zozote kwa gallery, CRBC inaprovide transportation kutoka Nairobi hadi mombasa lakini haichagui wapi picha zitapigwa.....Under specific permission PR stunt!
Vizuri. Acha hawa watembelee hapa nao viongozi wa dini wakawashutumu wale wanaochinja watoto na kula viungo vyaoHaya, wasanii wa filamu, bongofleva, muziki wa dansi na wanamichezo karibia wote wa Dar leo wametembelea ujenzi wa SGR...
Jezuz on a mule! na wewe pia umeanza lini kuongea shombo...?Vizuri. Acha hawa watembelee hapa nao viongozi wa dini wakawashutumu wale wanaochinja watoto na kula viungo vyao
What's so special? our Dar port has scan machines to screen containers while a train in motion! Yet u talk of a weight scale!KIla contena hupimwa uzito juu ya hii weighting scale kabla kutoka nje ya Bandari Mombasa, Pia Urefu wa treni hupimwa...
Mbona unajishuku kiasi hichi, sio kila kitu ni attack on your SGR, mi naonyesha sensors ambazo zinatumika kupima uzito na urefu wa kila contena wakati treni inatoka bandarini.... Sijataja Tz, we tayari unachukulia nimekuingilia!!!!What's so special? our Dar port has scan machines to screen containers while a train in motion! Yet u talk of a weight scale!
Nionyeshe picha za hii incidence at Maai Mahiu iliyoua Wakenya wawili!You are very useless Geuza Udinywe.
Miaka mitano? Kwani nyie ni vilaza kiasi gani?Maintenance, Management, Repair........ Waanafunzzi ambao wamekua wakifaanyiwa mafunzo tangu 2016 pole pole wanaanza kupewa majukumu makubwa na mwishowe baada ya miaka mitano inatarajiwa wataachiwa majukumu yote..
Train Inspection
Sehemu ambayo bado Wakenya hawajaachiwa ni Traffic command and Control ambapo ukibofya vibaya unaweza kufanya treni mbili zigongane, Kuna wakenya kadhaa kama 24 wametumwa Jiotong University kule China Kusomea ku operate hio traffic controll system
Kenya inaishinda Tanzania kwa World banks Human Capital Index (HCI) ambayo hupima productivity ya wafanyikazi 😀😀😀😀Miaka mitano? Kwani nyie ni vilaza kiasi gani?
Hiyo miaka mitano (10) ni matokeo ya mkataba wa kijinga mliosaini. Yani kila siku graduate (engineer) una amka asubuhi unaenda kujifunza kazi ile ile kwa miaka 5!! labda utuambie hao wakenya watakao achiwa hizo kazi bado wako High school.Kenya inaishinda Tanzania kwa World banks Human Capital Index (HCI) ambayo hupima productivity ya wafanyikazi 😀😀😀😀
Ku manage na ku maintain Reli inahitaji watu ambao wana develope culture ya Military precision, Kutoka kwa kufanya scheduled maintenance, time keeping.....
kwanini tujidanganye, Tungefundiswa na kuwachiwa wakenya siku ya kwanza ingekua tayari treni zishaanza kuchelewa na nyengine zingekua zishawekwa kwa garage kama vile tulivyofanya meter gauge... The only reason Thika Highway haina potholes Miaka kumi baadae ni kwasababu kwa kandarasi kulikua na dili kwamba contractor atatengeneza kampuni ambayo itakua inafanya marekebisho yoyote "within 7 days", miaka 4 ya kwanza kampuni hio ilikua inaongozwa na engineers wachina wakifundisha work ethic wakenya jinsi ya kufanya long term mainatance.... Hivyo ndo wakenya wakaanza kuzoea work ethic ya kufanya maintenance hadi sikuhizi utaona kila baada ya mwezi kuna wafanyikazi wanafagia barabara na kuondoa uchafu kwa mitaro, barabaara inakaa mpya utadhani ilijengwa mwezi jana.... Kama tungeachiwaa hivi hivi ingekua hio barabara haingaliki sahii....
Kwahivyo kama ilionekana tunahitaji miaka 5 ndo tuwe na culture ya work ethic basi tuwache hivyo, nyinyi huko Tz mkijiamini na kuharakisha kuchukua uskani siku ya kwanza ili mjisifu kamba si vilaza hio itakua ni kwa raha zenu! Pia mnaweza kufanya hivyo kwa ma engineer na marubani wenu kwa ile ATCL yenu, shauri yenu
mambo mengine kama haujaui afadhali unyamaze.....Hiyo miaka mitano (10) ni matokeo ya mkataba wa kijinga mliosaini. Yani kila siku graduate (engineer) una amka asubuhi unaenda kujifunza kazi ile ile kwa miaka 5!! labda utuambie hao wakenya watakao achiwa hizo kazi bado wako High school.
Sent using Jamii Forums mobile app