Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Serikali iko hoi taaban
Mkuu,, hata usiongee sana...
HEDc8ItWEAEeOYe.jpg

HDsEQTcbcAArReW.jpg
 
Mturuki bhana!!
Yaani ukitizama hizi nguzo, zina kila aina ya kasoro.
Reli zinapaswa kuweza kufanya kazi kwa zaidi ya miaka mia moja kabla zianze kuleta changamoto ila hapa kwa Mturuki binafsi sina uhakika kama hizi nguzo zitaweza kustahimili miaka kumi kwa kubeba mizigo mizito kutoka Burundi kama vile wenyewe wanavyosema...
IMG_20260331_124237.jpg

IMG_20260331_124426.jpg


matokeo yake ndio haya 👇
1767371737071.jpg


na ukiwaambia, wanakuwa wakali na kukukingia kifua kwelikweli 😂
20260104_114916.jpg

FB_IMG_1773553721722.jpg
 
Kwa kutizama tu kwa macho tu, unajua wazi kabisa huu ni usanii mtupu 👇👇
IMG_20260331_143215.jpg

Mturuki,,,
G6sYYwLWsAADjCg.jpg
 
Back
Top Bottom