Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,283
- 7,062
Nilikua sijawai ona hii. Ni jambo gani lilisababisha ajali hii jameni?
View: https://www.youtube.com/watch?v=QpAfElm0f-E
View: https://www.youtube.com/watch?v=QpAfElm0f-E
mbona anavaa nguo zimembana?
Ati copycats? How many sections r being built in Tanzania?
Limekuwa behewa la kupozi na kupiga picha, ha ha ha. Upuuzi mtupu.
Bado uko hai? Nilizani ulishatangulia mbele za haki #MO29 🤣Limekuwa behewa la kupozi na kupiga picha, ha ha ha. Upuuzi mtupu.
Tayari nimeshatangulia mbele ya haki lakini huwa nafufuka mara moja moja kuangalia kama bado unaandika upuuzi wako😎😎😎Bado uko hai? Nilizani ulishatangulia mbele za haki #MO29 🤣
still waiting for the clip showing the wananchi receiving their handouts!