Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 33,872
- 32,650
Shauri yako na mambo yako ya kipuuzi puuzi.Umia polepole.
Eti... 😆Unapongeza wananchi kulipwa wastani wa 1.5M
Mbona kama naona mmoja hapa anang'ang'ana nipost video ya Wakenya kulipwa, bado sijaelewa kama intention yake ni kuwa-mark sura zao kisha.... 😂Kuna matapeli wanazipigia mahesabu.