griffin griffith
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 549
- 442
Mimi Nina imani mungu yupo,kutokana na biological creatures in this world.yaan haingii akiliniKwa sababu hakuna ushahidi wowote kuwa Mungu yupo.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hapana utanii tuuh..! Usije ninyima nanilii bure.
Siwezi kukujibia swali nililokuuliza mwenyewe,swali nililokuuliza nilitaka kujua kutoka kwako imani ni nini hadi ukahusisha mchezo wa bichwa na mwenge kuwa ni mchezo wenye kutumia imani?Hatuwezi kujadiliana lolote kuhusu imani kama hatujaanza ku define imani ni nini.
Huo ndiyoufunguo wa majadiliano.
Kwenye insha na debate, watu huanza na definitions.
Nashangaa unataka majadiliano ya kitu bila definition.
Unaweza kuita nyekundu yangu bluu yako, na mimi nikaita bluu yako nyekundu yangu, wote tukasemakitu kimoja kwa wewe kusema bluu yako (ambayo ni nyekundu yangu) na mimi kusema nyekundu yangu ambayo ni bluu yako, kitu kilekile, lakini wewe ukatumia neno bluu na miminikatumia neno nyekundu.
Ndiyo maana kabla ya kubishana nyekundu na bluu zinatokeaje kwenye alkali na acid katika litmus test,inabidi tuonyeshane nyekundu ikoje na bluu ikoje.
Imani ni nini?
Bilakujibu swali hili siwezi kupata uhakika hata kama unaelewaimani ni nini, licha ya imani yako ni ipi na ina uzuri au ubaya gani.
Hata kama hatujui chanzo cha uhai, hakutupi mwanya wa kuashumu kwamba Mungu ndiye aliyeumba.Mimi Nina imani mungu yupo,kutokana na biological creatures in this world.yaan haingii akilini
1.uende porini au sehem yoyote ile ambayo unaamini hakuna MTU yoyote aliwahi fika ukaikuta saa ya mkononi,then ukasema hii SAA haijatengenezwa na binadamu,kisa tu ww ni wa kwanza kufika hapo,eti SAA imetokana na natural process kama baadhi ya wanasayansi wa miaka 80 s wanavyotoa nadharia?
2.siku una Chumba cha siri ambacho Hamna MTU anaingia au kukifahamu,Siku ya Siku kifaa chako kimeibiwa,unaita polisi wanafanya uchunguzi wao,wanagundua hamna hata unyayo wa MTU mwingine ulikanyaga hapo zaidi ya wew,,then polisi unapelekwa kwenye vipimo kama akili yako imeyumba kidgo ,utafiti waonesha upo kamili,na ww akili yako inashuhudia hujatoa kitu mule ndani,,sasa unaamua kusema kifaa chako kimeibwa na natural processes???
LEO HII wanasayansi wanasema hata mifumo au body system ya bacteria tu ni tata sana,kiasi cha kwamba ni ngumu ..kuamini hakuna designer wa uhai wa uliopo ulimwenguni,,
Mimi naleta Uzi maalumu unaonesha utata katika hili
Zaidi nakushukuru mkuu
Unaifahamu quantum physics?Atheists wanajifanya kuamini sana kwenye quantum physics, sasa quantum physics nayo inakubali kwamba Mungu yupo. The best proof of God's existence : quantum physics
1. Hujathibitisha Mungu yupo.Sababu mnazofikiri ama kusema kuwa ndiyo ziliwafanya watu enzi hizo kuamini mungu si sahihi na ndiyo maana hadi leo bado watu wanaendelea kuamini mungu.
Halafu pia wenye kuamini mungu hutoka makundi yote waliyosoma na hata wasiosoma.
Mnapenda kusoma mambo ya kufikirika tu na ndiyo maana yanakosa uhalisia kwenye maisha ya kawaida,haya mnayoyasoma si yaliyowafanya nyie kuwa atheists na wala hakuna ambaye utaweza kumfanya kuwa atheist kwa hayo.
Kama vyote complex vinahitaji muumbaji, Mungu naye atahitaji muumbaji na hivyo atakuwa si Mungu.Mimi Nina imani mungu yupo,kutokana na biological creatures in this world.yaan haingii akilini
1.uende porini au sehem yoyote ile ambayo unaamini hakuna MTU yoyote aliwahi fika ukaikuta saa ya mkononi,then ukasema hii SAA haijatengenezwa na binadamu,kisa tu ww ni wa kwanza kufika hapo,eti SAA imetokana na natural process kama baadhi ya wanasayansi wa miaka 80 s wanavyotoa nadharia?
2.siku una Chumba cha siri ambacho Hamna MTU anaingia au kukifahamu,Siku ya Siku kifaa chako kimeibiwa,unaita polisi wanafanya uchunguzi wao,wanagundua hamna hata unyayo wa MTU mwingine ulikanyaga hapo zaidi ya wew,,then polisi unapelekwa kwenye vipimo kama akili yako imeyumba kidgo ,utafiti waonesha upo kamili,na ww akili yako inashuhudia hujatoa kitu mule ndani,,sasa unaamua kusema kifaa chako kimeibwa na natural processes???
LEO HII wanasayansi wanasema hata mifumo au body system ya bacteria tu ni tata sana,kiasi cha kwamba ni ngumu ..kuamini hakuna designer wa uhai wa uliopo ulimwenguni,,
Mimi naleta Uzi maalumu unaonesha utata katika hili
Zaidi nakushukuru mkuu
Hiyo link ina majibu.Unaifahamu quantum physics?
Hiyo link ina upupu. Nakuuliza wewe. Unaelewa Quantum Physics?Hiyo link ina majibu.
Hapa swala si nani kamuumba mwenzie,kikubwa kuna designerKama vyote complex vinahitaji muumbaji, Mungu naye atahitaji muumbaji na hivyo atakuwa si Mungu.
Umeshindwa kufikiri kimantiki katika kitu kidogo sana.
Watu kuendelea kuamini mungu hadi leo inaonesha sababu mnazoeleza kuwa ndiyo zilizofanya watu waseme kuna mungu si za kweli.1. Hujathibitisha Mungu yupo.
2. Hujatatua contradiction ya evil.
Kwa sababu Mungu hayupo.
Kama yupi.
1. Thibitisha yupo.
2. Tatua contradiction ya evil.
Sifa za mungu unayesema hayupo unazijua au unapinga kitu ambacho hukujui?Kama vyote complex vinahitaji muumbaji, Mungu naye atahitaji muumbaji na hivyo atakuwa si Mungu.
Umeshindwa kufikiri kimantiki katika kitu kidogo sana.
Nazijua. Wewe sifa za Mungu unayemsema yupo unazijua?Sifa za mungu unayesema hayupo unazijua au unapinga kitu ambacho hukujui?
Kwanza kabisa swala ni mnyama. Kama hujui Kiswahili tu kiasi cha kujua tofauti ya suala na swala, ninapata tabu kukubali kama unaweza kuelewa falsafa ya uwepo au kutokuwepo Mungu.Hapa swala si nani kamuumba mwenzie,kikubwa kuna designer
Is not a matter of arguing and ridicules like as you do brother,..flaws are in innevitable at all,swala or suala is nothing on this topic,what you have to give your eyeball is our topic that rolls up....Kwanza kabisa swala ni mnyama. Kama hujui Kiswahili tu kiasi cha kujua tofauti ya suala na swala, ninapata tabu kukubali kama unaweza kuelewa falsafa ya uwepo au kutokuwepo Mungu.
Kuhusu designer, swali ni, je, vyote vilivyo complex vinahitaji designer?
Ungezijua usingesema kuwa mungu anahitaji muumbaji.Nazijua. Wewe sifa za Mungu unayemsema yupo unazijua?
Maana unaweza kuwa na Mungu ambaye sifa yake kubwa ni kutokuwepo.
Halafu nikakwambia Mungu wako hayupo, ukabisha, ukasema yupo, kwa sababu hayupo.
Yes mkuu,kila kitu complex huhitaji designer,,may be nipe mfano kitu ambacho unahisi ni kinyume na ninachosemaKwanza kabisa swala ni mnyama. Kama hujui Kiswahili tu kiasi cha kujua tofauti ya suala na swala, ninapata tabu kukubali kama unaweza kuelewa falsafa ya uwepo au kutokuwepo Mungu.
Kuhusu designer, swali ni, je, vyote vilivyo complex vinahitaji designer?
Nothing is nothing.Is not a matter of arguing and ridicules like as you do brother,..flaws are in innevitable at all,swala or suala is nothing on this topic,what you have to give your eyeball is our topic that rolls up....
Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
Wewe hata kuzitaja unaogopa.Kwa sababu unajua ukizitaja tu, Mungu wako anaanza kuanguka kutokana na uzito wa uongo unaombeba.Ungezijua usingesema kuwa mungu anahitaji muumbaji.
Huyo Mungu wako unayedai creator wa vyote hivi anahitaji creator na yeye?Yes mkuu,kila kitu complex huhitaji designer,,may be nipe mfano kitu ambacho unahisi ni kinyume na ninachosema
If only house got constructor,,why arguing against creation mkuu??
Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app