Cosmological truth; death

Nilishawahi kukupa fact ya ukweli kua jua si kiumbe hai vipi ulielewa?

Hukuwahi kunipa fact kama JUA ni kiumbe hai,kama ulishindwa kuthibitisha ya kuwa JIWE si kiumbe hai,vipi uweze kwa JUA.




Sasa kama unakubali kutolea yushahidi kwamba jua linazama matopeni na ukaamini,mimi ndio nakutolea ushahidi kutoka humo humo juu ya chanzo cha ulimwengu na huu pia ni ushahidi tena wenye nguvu.

Naona unakataa halafu muda huo huo unakubali,hii ajabu sana.

Kwanini upendacho kiwe ni ushahidi na kwetu isiwe ushahidi,usiwe mjinga kiasi hicho.

Kushindwa kwako kuthibitisha uongo wa ushahidi niliokupa ni kuonyesha ya kuwa huukubali ukweli.
 


I denied Angels !! Are you crazy? Which angel ?
 
I denied Angels !! Are you crazy? Which angel ?
As a suggest lets talk about the real issue which drew line between me and you, the fact which you denied, the fact which is, there is a CREATOR of all these ... lets talk about that ...
 
Mkuu naomba unitajie baadhi ya hao watu....
 
Keel mkuu wanajazana uoga mkubwa ...
 
Mwalimu darasani anakupa mtihani wa maswali majibu Anaya, Mbona humuambii acha ufala nipotezee ... Just a logic question.
Mungu muweza wa yote huwezi mlinganisha na viumbe vyenye mapungufu vinginevyo mungu wako siyo muweza ya yote... Pia mwalimu anapima wanafunzi wake kwasababu hana uwezo wa mungu wa kujua mambo ya mbeleni...
 
Mungu muweza wa yote huwezi mlinganisha na viumbe vyenye mapungufu vinginevyo mungu wako siyo muweza ya yote... Pia mwalimu anapima wanafunzi wake kwasababu hana uwezo wa mungu wa kujua mambo ya mbeleni...
Ndugu nimetoa mfano sijalinganisha ... mfano wa hali 'situational', ninapo sema mathalani utawala wa 'X' ni sawa na utawala wa 'Y' nilicho fananisha hapa ni uatawala na siyo 'X' na 'Y'. MUNGU MMOJA HAFANANI NA YOYOTE WALA CHOCHOTE, Lakini MUNGU MMOJA anaona,
je tutasema anafanana na viumbe sababu anaona?
HAPANA!
JE ANAFANANA NA MWALIM SABABU ANATOA MTIHANI NA MWALIM ANATOA MTIHANI?
HAPANA!!!
MUNGU WANGU NI MUNGU MMOJA 'ALLAH' NA NI MUWEZA WA YOTE!
 
Sasa kama anatoa mitiani kama mwalimu anakuwaje tofauti?
 
Unaamini mmandishi vitabu vilivyoandikwa Watu ambao hata babu wa babu yako hakuwahi kuwaona? Huo Ndio unaitwa ujinga.
 
Unaamini mmandishi vitabu vilivyoandikwa Watu ambao hata babu wa babu yako hakuwahi kuwaona? Huo Ndio unaitwa ujinga.

Huu si ujinga mpaka ubainishe kosa liko wapi na huo ujinga uko wapi.


Tuendelee....
 
Huu si ujinga mpaka ubainishe kosa liko wapi na huo ujinga uko wapi.


Tuendelee....

Wewe jamaa ni ngumu kujadili na Wewe kwa Sababu you are never free in your mind. Ili kujadili haya mambo nilazima utoke Kwenye sumu ulizomeza. Halafu kwa kutumia akili yako ndio utuambie how do you explain Death as the matter of fact.

Wachana na hayo mambo ya kaburini this , Quran that , just stand naked all alone and tell us what do you think about death. Usitoe brainwashings zako kwanza. We all have been brainwashed one way or the other, now let’s use our own mind for atleast 5 Mins
 
Wewe jamaa ni ngum

Sijakuelewa kaka,una maanisha nini,naona kama kuna herufi au silabi imekosekana mwishoni mwa sentensi ikapelekea nisikuelewe. Msaada tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…