Cosmological truth; death

Which note do u need, you have already given ones (holy book) but you denied for so many reasons, now which one you want?
Darwin can find a pebble tools beside a unknown bones, he will make the man out of those bones and announce the man is the maker of those simple tools and yet he denies the complex creature; man himself has got no maker!?,

Here he crying being born without a note, where in the world can you find a simple tools without instruction note on how to use it? But the maker of the man, a complex creature had "forget" to a touch a note on its art work, ... Wa He?

If we don't have an instruction how can we define death? Could someone we perfectly put in place all what we see and observe, he are, smell and touch, who put all details in perfect order, could forget to put a note on it?
If a simple tools cannot made its self without a bones of unknown creature, how could you a complicated machine come to existence by chance and keep doing so generation to generations, without fail, i'nt that odd?

How could you talk of a death if you denied the existence of the soul?

If you don't have a note, how can you explain a journey which follow after that you describe is a death?

As you crippling your hand with science concern energy and matter, and as you conquer everything is energy, ie your energy, I am energy, then where is the source, where is the power which keep this energy together, from animals to plants, stars and moons, galaxies and nebula, heaven and earth, etc, doest that chunk of energies keep on its own run with perfection without any single error, so perfect without any supervision and does not collide even for a millisecond since bing bang up to now...

If you say that is possible in a very simple example is to say you can switch on car engine and the car can go on its own and reach its destination perfectly without a single accident .

Salaam
 



 
Mwalimu darasani anakupa mtihani wa maswali majibu Anaya, Mbona humuambii acha ufala nipotezee ... Just a logic question.
 

Stop it !

I have given the holy book [emoji845]by who ? When ?

And I think you did not even understand the concept of the post. You are just writing judgmental issues.
 
Mwalimu darasani anakupa mtihani wa maswali majibu Anaya, Mbona humuambii acha ufala nipotezee ... Just a logic question.
Mwalimu kua na majibu ya maswali ya huo mtihani hakumfanyi ajue majibu niliyonayo kichwani mwangu see the different.
 
mwalim hakupi mtihani ila wa kile alicho kufundisha, so anajua unajua au ulipaswa ujue sababu alikufundisha au alishakuongoza juu ya hicho anacho kiuliza.
Kwa maana hiyo mwalimu hajui yajayo na ndio maana anakupa mtihani ili kujua kama ulielewa au hukuelewa.

Mtihani unakazi ya kumfahamisha mwalimu juu ya uelewa wa mwanafunzi kulingana na alichofundishwa na mwalimu huyo

Sasa mungu tumeambiwa ni mjuzi wa yote anajua lililopita lijalo na lasasa, kumbe kabla hata mwalimu ajakupa mtihani huyu mungu alikwisha kujua kua utafeli. Sasa kwanini tena mungu huyu awatahini watu wake wakati ni mjuzi wa yote??
 
Stop it !

I have given the holy book [emoji845]by who ? When ?

And I think you did not even understand the concept of the post. You are just writing judgmental issues.
If what I did is judgmental .. what the difference from what your doing now, i'nt that the same ...?!
The problem with atheist is you acknowledge a fact when it stand in your side and deny the same fact when it stand against you.
you accuse me of being judgmental due to your observation, and according to my observation for you to conclude my post is judgmental is you being judgmental ... so what are you accused me off and what are you doing ....
same with concept of Creator, you agree there is a source of all these, but you denied the existence of that source when it presented by monotheisim religion.
 
Mungu Mmoja kwenye dhana ya Uislam, ambayo ndiyo ninayo isimamia, yeye ndiye kaumba kila kitu, mpaka kile ambacho sisi tuna kiita 'time' au 'muda' nacho ni kiumbe chake. Mungu Mmoja haathiriki au haathiriwi na viumbe vyake ikiwemo hicho kiumbe kinacho itwa 'muda' au 'time'.
Hivyo dhana ya past, present na future ni illusion ambaye inakubaliana na upungufu wa maumbile yetu, ndiyo maana kwenye Quantum Physics, time haitizamwi kwenye mapungufu hayo ya past, present na future, bali inatizamwa kama kitu 'absolutely' inatizamwa kwenye nukta moja tu, 'NOW', Lakini sifa hii ya 'now' kwenye dunia yetu ya 3D, HATUWEZI KUIDIRIKI, lakini andhani utakuwa unajua kuwa ulimwengu ni multidimensional kwamba kuna zaidi ya 3D, na mpaka sasa science haijaweza kuthibitisha kuna dimensional ngapi, hivyo basi kwenye multidimensional, wewe, ndiyo unazaliwa, wewe ndiyo unakufa, wewe ndiyo unaanza shule, wewe ndiyo unalala, wewe ndiyo unaamka n.k, yote unayoyafanya yalisha fantika, lakini hiyo point unaifikia moja baada ya nyingine kwenye time illusion kwenye kile unacho kiita future, lakini kwenye multdimension yote hayo yalisha fanyika.
Hivyo basi kwa Mungu Mmoja, ambaye yeye 'time' ni kiumbe chake na hakimuathiri kama kinavyo muathiri mwalimu, anajua kwa elimu ya 'yakini' kabisa kuhusu yote ya kwako na hatua yako ya mwisho ya safari yako ikiwa ni moto au pepo, ajali zake, shughuli zake na miamala yake, sababu kwenye highper dimensional hivyo vitu vyote vinaoneka kwenye nukta tunayo iita 'now'.
Mungu Mmoja angekuwa hana elimu hiyo, au angekuwa naathiriwa na kiumbe kinacho itwa muda, basi angekuwa na mapungufu, na asinge stahiki sifa hiyo ya kuwa yeye ndiye 'source' ... binadam wengi tunachanganya sifa hiyo ya MUUMBA ya kuwa na elimu ya mambo yote na kujua mambo yote, na dhana ya sisi binadam kufanya tunayo yafanya na kumsingizia kuwa yeye ndiye katupangia.
Binadam na Majini ni viumbe huru, tunayo uhuru wa kuchagua baya na ovu, kama unavyo chagua kumkataa Mungu Mmoja, kitendo cha wewe kuchagua 'A' badala ya 'B' Mungu Mmoja anakijua, na kwake yeye hicho kitendo kilishatokea na kikamilika kwa ukamilifu wake hata kabla hajaumba chochote, yeye anayo elimu juu ya hilo la wewe kumkataa, lakini si Mungu Mmoja, aliyekufanya wewe umkate yeye, hapana, wewe umetumia uhuru wako.
Sababu amekupa macho mawili, midomo miwili, masikio na akili na akakutanabaisha juu ya 'zuri' na 'baya', na akakupa uhuru wa wewe kuchagua baina ya njia hizo mbili, iweje baada ya uchaguzi wake binafsi urudi na kumsingizia yeye ... lakini pia hajataka kukuadhibu kwa utovu wako wa nidhamu kwake bila kukupitisha kwenye mahakama yake ili makosa yako yathibitike ... sasa yeye kutenda haki ya kukupa nafasi kuthibitisha makosa yako kwa kukuuliza anakuwa anayo hatia tena?
Binadam ni very complex creature sababu amepewa uhuru, tumia uhuru wako vizuri, tumia akili yliyo pewa na utasikia sauti kutoka ndani yako ikikuambia kunayo 'source' wa haya yote, na huyo 'source' aliye fanya haya yote hajafanya haya kimzaha mzaha, au mchezo mchezo, yanayo madhumuni makubwa na mapana ... yatafuta ukitayafuta utakutana uso kwa uso na Mungu Mmoja.
 

Nimekuuliza maswali nikitegemea majibu wewe unaniletea mahubiri hivi kasumba hii mtaacha lini wafia dini??


Ebu hoja yako ijikite kwenye maswali niliyokupa

Narudia tena

Kama mungu mjuzi wa yote, aliweza kuyajua maisha ya kiumbe chake kabla hata hakijazaliwa kua atapita huku na kule mwisho wake utakua hivi. Sasa kwa sifa hii inamaanisha hakuna kitu kipya machoni mwake, inakuaje mungu huyu awatahini watu wake wakati hata kabla ya kuwapa mitihaani alikwisha kujua kua watafeli?????
 
Lovely
 

Shut up [emoji850].
 
Halafu hapo hapo unakuta watu wanasema ni kitabu kisichokua na shaka

Kaburi linapo chimbwa vitu hivyo vinakuwepo? Hao nge kaburini wamewekwa na nani?

Au nyoka na nge ndio wale funza vitabu vimetumia neno tata kuelezea

Ila ukiwa na akili ndogo,hata kukanusha mambo kileimu unashindwa na kufikiria kiundani pia.

Kama wewe ulianza katika muunganiko wa mbegu ya kiume na mbegu ya kike,kisha ukawa pande la damu,kisha pande la nyama kisha pande la nyama likavishwa mifupa kisha ukapuliziwa roho kisha ukazaliwa na unaishi. Vipi yashindikane hayo mengine ?
 

Hizi ndio tuanita story za wana sayansi,yaani zinaingia katika fasihi ya visa na visasili. Ajabu baada ya kushindwa kujua ukweli juu ya kifo,wanajifariji ya kuwa kifo ni jambo zuri sana na maneno kadha wa kadha,yaani wanamwaga sifa tu. Na hakuna ushahidi wa kisayansi unaoelezea kifo zaidi ya story zao tu.

Sasa mimi nauliza swali moja la msingi,hivi energy iwe energy inahitaji nini na nini ?
 

Roho ni nini? Unawezaji kutambua hii roho hii siyo roho?

Unaweza kuthibitisha kua nilipuliziwa roho
 
Good
 

Visa Na visasili? Ni nani aliyejua ukweli wa kifo Tangu dunia kuumbwa?

Je weee ukweli wako wa kifo ume base kwenye nini ? Facts au story. ? Kwa sababu hata imani Yako imejengwa kwa muktadha wa Hadith za kale ambazo no one can prove its reality.

Sasa unaposema kuwa ni story zao tu nashindwa kuelewa , au nilitegemea uje na facts ambazo kila mtu ataweza kuziona.

Yaani ukitulia Na kutafakari utaelewa ninachomaanisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…