Cosmological truth; death

Abrahamic religions ndiyo wanamafundisho hayao, hasa islam.

Wanaita adhabu ya kabuli.
Tena unakuta kajamaa kapo kwenye membari kanatoa mpaka mshipa wa shingo kuaminisha uongo

Mtu unakaa unawangaliaaa..! unashangaa pembeni yako ulipokaa mtu mwengine katoa kibwagizo wengine wanaitikia kwa nguvu na bahshasha kabisa kumaanisha wameyaelewa waliyoyasikia_unajiuliza hivi hii Ni aina mpya ya Ugonjwa wa Akili..[emoji17]
 

Ha ha! Pole, I am Sorry [emoji52], Sir .
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23].
 
Death is one of the most beautiful thing in life.
Death makes us perfect. It makes us to want nothing, to expect nothing and to depend on nothing
Mtoa mada naona unataka tukizoee kifo na tukipokee kwa tabasamu au sio.? Ila uhalisia unapingana na hilo

Watu wanakunya ndugu yangu tena kwa uchungu wakati wa kukata roho Sijui wanaonaga nini maskini..!

Sasa ukiwaaminisha watu kuwa kifo kizuri.. Looh! Sidhani kama utaeleweka
 
Kifo ni kitu pekee atheists wameshindwa kukikana, wanaweza kukana kila kitu ila ikifika suala la kufa kwa atheists basi ndipo panapo na mvurugiko wa ukanushaji, moja ya vitu ambavyo vimeelezewa na dini hichi kifo ambacho unataka kuwaaminisha watu kuwa ni energy transformation ila bado umeshindwa kueleza wapi hii energy inaelekea. Sayansi bado changa mno haiwezi kuja na proof ya kuelezea yale ambayo dini imeyaeleza. 80 percent of Qur'anic texts has been scientifically proven to be true just 20 percent ambayo hii haijathibitishwa na sayansi kuwa ni sahihi na sio kuwa Qur'an ina error bali ni uwezo mdogo na kukosekana kwa vyombo na elimu ya kuprove.
Elimu ndogo ya sayansi ndio humfanya mtu kupinga yale yalioelezwa na dini bali elimu kubwa ya sayansi humpelekea mtu kumjua muumba wake.
Walipita wengi hapa duniani ambao walikua wakipinga uwepo wa Mungu na maisha baada ya kufa, ila wakati wanakata roho walioyatamka mpaka leo hayana maelezo.
 
The truth of the matter is that, NO ONE KNOWS WHAT HAPPENS AFTER ONE DIES.


Na mm kimo kimo kumbe!!!
 
Moja ya mada ngumu kueleweka na kuleta muafaka chini ya jua hili ni KIFO (nini kinatokea wakati wa roho kuiacha mwili na nini kinaendelea baada ya roho kuiacha mwili). Sio sayansi wala dini. Japo huenda wakawepo watu wenye imani kubwa sana juu ya KIFO (ni kitu kizuri kadiri ya wengi wasemavyo).
Yote ni imani.

Tenda wema ishi wema furahia maisha.
Na amini yupo uende umkose kuliko uamini hayupo uende umkute.
 
In my life sikuwa na sitawahi kuhofia kifo.
Any time,Any day nipo tayari na siwazii kuhusu kufa.

Usually nafanya majukumu yangu vyema na kuishi vyema na kila mtu.

Also nikihudhulia msiba nasema aliyekufa Amekwenda na Hakika amekwenda kweli kweli.

Siogopi na sitaogopa Anything kuhusu kufa.
 
Ni kweli mkuu huwezi kuogopa kitu ambacho huna idea nacho right?
 
The issue at hand is why most of the so called religious holy books use intimidation behind their teachings! Why people are told that any slight disobedience will directly give you a ticket to hell! The followers are totally in fear, they are extremely bound to these doctrines to the extent that they follow their church/mosque leaders unquestionably!

human brain dictates someone to have a free thinking and a free will. Let people think freely, please do not confine them to your preset knowledge believed to be true!

Tata mkuria
 

Ila Wewe mbona una sound childish and immature!!

Ati 80% of Quranic verses have been proven to be true scientifically , and just 20% haijathibitishwa na sayansi, na sio kuwa Quran ina errors bali ni uwezo mdogo wa kukosekana elimu na vyombo ku prove —

Man read it loud, please. How does it sound?

1. Taja hizo texts zilizokuwa proven to be true scientifically ambazo ni 80% na utaje proofs zake za kisayansi.

2. Halafu mbona una pretend kama vile Quran has all the answers, boy !

Unajua ni just miaka 1400 tu imepita tangu introduction ya Quran, na kulikuwa na maisha kabda ya hicho kitabu and almost yaliyomo Kwenye Quran hakuna jipya boy, kwanza mengi ni kama tu yametolewa Kwenye maandiko ya vitabu vya nyuma.

Wewe ambae una hazina ya Quran na mambo ambayo bado hayajagundulika kisayansi ( hiyo 20% yako) tugundulie basi yaliyomo humo, sio usubiri sayansi ifanye findings zake Halafu uje kusema, hii ipo Kwenye Quran, are you mad? Kama ipo Kwenye Quran si ugundue wewe sasa!

Hivi ni kwanini mnachagua ujinga, hebu jifunze kifikiri kidogo basi hata kama umelowa kwenye imani.
 
Sasa unadhani nikianza kukutajia moja moja nitamaliza, just go and read by yourself don't be narrow minded person.
 

Kuna kitu kinaitwa attachment. Na kuna kitu kinaitwa the denial. Hivi vitu viwili ndio vinafanya uone people are struggling a lot on death bed.

Asilimia kubwa ya watu wameaminishwa Death is never good, and kuna a lot of punishment huko tuendako matokeo yake hakuna anaetaka kufa. So when death comes, hakuna anaekikubali kimtokee kirahisi, matokeo yake soul has to leave the body forcibly , because there is no any other way. Therefore, ndiyo unaona hizo struggle.

Kwa wale ambao wamekielewa kifo, and they don’t have any fear of unknown, kifo chao kinakuwa ni kama kutoa unywele Kwenye maziwa. Very soft, kwasababu kuna kuwa na acceptance na ushirikiano kati ya body and the soul wakati wa kuachana, they complement each other.

Aidha, unasema mambo ya kunya wakati wa kufa, mbona hili linaelezeka kirahisi sana Man.

Anus Muscles zote zina relax, so kama mtu alikuwa ana kinyesi Kwenye rectum kitatoka taratibu taratibu, na ndio maana hata waislam wanaweza kukamua mavi maiti kirahisi just kwa kumpapasa papasa tumboni marehemu, kwa kufanya hivyo mavi chini yanatoka, muscles zote zimejiachia.

Wewe hapo mavi hayawezi kukudondoka kwasababu you have the control voluntarily ya ku contract na ku relax muscles zako.

Sasa nyie mtu akijinyea wakati wa kufa mnaanza kutisha watu nyie bhana,


ooh kifo kigumu mpaka anajinyea blah blah

Unakutana na mtu anakwambia Mimi sina haja ya kujifunzachochote, Quran haijaacha kitu, au biblia haijaacha kitu. Matokeo yake ndo hayo fully kutishana na myths zisizo na kichwa wala miguu.
 
Sasa unadhani nikianza kukutajia moja moja nitamaliza, just go and read by yourself don't be narrow minded person.

Stop deceiving yourself.

Weka hizo verse hapa with evidence support, any verse that has been proven scientifically to be true.

Achana na hayo maneno ya blah blah sijui Quran imention maji chumvi na maji ziwa hayakutani, maana hizo ndo hoja zenu, sijui jua linazama magharibi na kuchomoza Mashariki, Therefore Quran imegundua hilo. Acha fantasy boy, be honesty to yourself.

Quran imekuta hayo mambo na watu walikuwa wanajua before even Quran haijawepo.
 
Hata nikiweka zitakusaidia nini? Wakati ushaamini unachokiamini? You're are very smart. But you never used your brain!
 
Very true indeed with togetherness I go with your point no any religious institution in this world has ever tried to define death.

They just seem to propose some after death fictions to make people fearful.

It is good and wise for the fools to understand their religious Leaders preachings as they may face heavy punishment after death because of their actions,hence, make the world we live in a safe place .

Good idea for the societal civilization but deep down no truth at all.
 
Dini zipo nyingi dini IPI ya kweli tuifuate ?
 
Kesho nakufa kwa herini

Nikifika huko ntawaleteen story halisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…