Cosmas Cheka hajui ngumi , kwanini analazimisha kuwa bondia ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,650
218,105
Huyu kijana kwa kweli hana uwezo wa kushinda pambano lolote la ndondi kama kunakuwa na uamuzi wa haki , hajui kupigana , ni vema akatafuta cha kufanya kabla hajauawa ulingoni .

Leo kwenye Vitasa vya Azam kaokolewa na Refa Mlundwa bila sababu ya msingi .
 
Nimemfatilia sana cosmas hakuna kitu mule tatzo la wabongo baba,kaka,dada akiwa fani flan basi wanàofata nao watataka kupita humohumo hata km kipaji hakuna km ulivyosema ipo siku atafia ulngoni kuna pämbano alichapika sana kwao morogoro
 
Anaachia sana uso,hawezi kabisa kujilinda,kwenye kona anapotakiwa kushambulia yeye anarukaruka tu,akalimw vitunguu tu kwa kweli sio kucheza ngumi
 
Huyu kijana kwa kweli hana uwezo wa kushinda pambano lolote la ndondi kama kunakuwa na uamuzi wa haki , hajui kupigana , ni vema akatafuta cha kufanya kabla hajauawa ulingoni .

Leo kwenye Vitasa vya Azam kaokolewa na Refa Mlundwa bila sababu ya msingi .
Acha upuuzi mwanajeshi katandikwa hadi karuka kichwa...Cheka yupo vzr
 
Nimemfatilia sana cosmas hakuna kitu mule tatzo la wabongo baba,kaka,dada akiwa fani flan basi wanàofata nao watataka kupita humohumo hata km kipaji hakuna km ulivyosema ipo siku atafia ulngoni kuna pämbano alichapika sana kwao morogoro
alipigwa na mmalawi
 
Acha upuuzi game tunaangalia hapa mwanajeshi katandikwa vizur tu wamembeba Na Cheka kacheza vzr sana kwanza hakuwa anampa nafas mjeshi kila wanapotulia yeye anakuwa wa kwanza kurusha ngumi
habari za morogoro mkuu
 
Ni kweli kabisa Cosmas cheka Hana kipaji Cha ubondia- analazimisha kwa tu Kaka yake alikuwa bondia- hajui kujilinda- ngumi zake hazina nguvu- yaani amelegea Kama demu- alafu mwenyewe anajionaga bonge la bondia
 
ngumi zake yeyee ni mbili tuu
Ile one two
yaani jeb na right baaaasiii
hapigi hooks wala kats zilee
hapigi combination yoyoteee
kiufupi vijana wa leo hawa wenye uchu na mafanikio ya ndonga mbeleni huko watakuja muaibisha vibaya mnooo
 
Huyu kijana kwa kweli hana uwezo wa kushinda pambano lolote la ndondi kama kunakuwa na uamuzi wa haki , hajui kupigana , ni vema akatafuta cha kufanya kabla hajauawa ulingoni .

Leo kwenye Vitasa vya Azam kaokolewa na Refa Mlundwa bila sababu ya msingi .
Ni kweli ngumi aachane nazo ...sijaona alichokifanya toka roundi ya 2 hadi 10, zote alipoteza tnba kwa hovyo kabisa.

Roundi ya 7 hadi kumi akageuka akawa mzee wa kukimbia ili mda uishe asipigwe KO.

Hamna kitu humo.
 
kuna game moja ilichezwa morogoro dhidi ya Mmalawi , cosmass alipigwa round zote ila akapewa ushindi
 
Ni kweli ngumi aachane nazo ...sijaona alichokifanya toka roundi ya 2 hadi 10, zote alipoteza tnba kwa hovyo kabisa.

Roundi ya 7 hadi kumi akageuka akawa mzee wa kukimbia ili mda uishe asipigwe KO.

Hamna kitu humo.
We umechanganya Mechi ya cheka na Dullah mbabe vs Twaha. Mechi ya Cheka iliisha mapema baada ya foul kutokea, waligongana vichwa na kupasuana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom