Cosa nostra

Naleo boss of all bosses 'Don Riina' amefariki dunia akiwabado anatumikia kifungo.... shukrani mkuu kwabandiko maridhawa.!
 
Mkuu The bold siku moja ikikupendeza nitag katika nyuzi hizi mkuu unanitenga!!!!!
 
Huwa sioni ya hawa wanaoitwa wahalifu mf mafia na serikali kama za kina joe biden.
 
Paul Castellano

Huyu
ametajwa na MWANA FA ft HARMONIZE-sio kwa ubaya
 
Kuna dude moja pia Encyclopedia of The Mafia, in MB nyingi nimeshindwa kuattach hapa, ni doc nzuri sana kwa hizi details za Mafioso.

Naweza kukutumia kwenye email kama ukihitaji, iko vizuri.
Nitumie na mimi mkuu nime kupm email yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…