Coronavirus:USA vs China in action movies

Coronavirus:USA vs China in action movies

cutelove

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
3,586
Reaction score
8,389
Wakati dunia inapambana na hili gonjwa hatari la covid19, kwa mikakati mbalimbali huku vifo na maambukizi yakiongezeka upande mwingine wale wasanii wa action movies watakuwa kwenye mchakato wa kuandaa movies

Sasa kama kawaida,tusubirie movie kali kutoka kwa makomando wa USA akina John Rambo,na wengine wakija na movie ya action

Movie hii itakuwa baina ya jeshi la USA vs China

Mchezo utaanzia Wuhan kitovu cha virus, hapa jeshi la Marekani wataenda Wuhan kupambana na kikundi fulan ndani ya jeshi la China ambao watakuwa wasambazaji wa virus

Mwisho wa movie wanajeshi wa Marekani wataonekana kupambana kutoa misaada nchi zilizoathirika hasa, Iran, Urus, China, Hong Nkong, Uturuki, Vietnam, Japan na mashariki ya kati

Hahahahaha, hizi movies zitakuwa kali balaa,

Sijui mkorea atapambana na virus kwa hasimu wake wa kaskazini

Vipi huku Afrika, zitakuwepo?

Ni mawazo yangu: wewe unasemaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binti hiyo corona ilivyokushika kichwa... Ushajiweka lockdown kwanza?
 
Leo kupitia mwandiko wako ndio nimeweza kujua jinsia yako halisi, rika lako na mengineyo...
 
Leo kupitia mwandiko wako ndio nimeweza kujua jinsia yako halisi, rika lako na mengineyo...
Uandishi wa mtu si kigezo cha kujua jinsia ya mtu, usimharibie mwenzio uzi focus kwenye mada yake
 
Praganda za USA lazima waonekane washindi.
 
Back
Top Bottom