Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,768
- 49,949
South Africa, baadhi ya vyuo vikuu, vimeamua kufunga kwa muda usiojulikana kutokana na tishio la Coronavirus.
Jana Cape Town University, chuo bora cha kwanza Africa, wametoa tangazo wanavyuo wote wawe wameondoka chuoni ndani ya masaa 72 kuelekea makwao kutokana na hofu ya Coronavirus.
Mpaka sasa vyuo vitatu vimefikia uamuzi huo wa kufunga. Vyuo vingine vinaendelea kama kawaida japo kuna hofu kuwa huenda na vingine vikafuatia.
Athari ya Coronavirus kiuchumi na kijamii, ni ngumu kupimika.