Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 34,434
- 59,289
Yeah niliiona majuzi.
Ila wameamua kuzigawa bure baada ya Amazon kuwapiga stop.
Mapumbaavu sana hayo majamaa.
Tenn. brothers donate sanitizer products bought for resale
Sasa Ulaya baadhi ya supermarkets wameamua kufungua saa moja kabla ili kuruhusu wazee tu kufanya shopping
Maana wanaonewa sana kwa kweli
Kweli hawa watu wako mbele kwa kila kitu
View attachment 1390476
Sent from my iPhone using Tapatalk
hahaaa siku moja usogee hapa mwamotoHahaaaa mbona naandika nikiwa Nyangokolwa...
yani mtu mgonjwa akihamia nchi fulani tayari eti ni janga la taifa, kila mtu anapanic kisa mtu mmoja😎😎😎Hili gonjwa hata silielewi, sijiui liko overrated au underrated?
Hahahaaa good move.
Senior citizens must be taken care of.
Hayawhayawi sasa yamekuwaTz kama bado aitaingia hivi! lakini waTz wenyew wapo exicited kweli, nahisi wanatamani corona ishuke kama mvua waishuudie ilivyo
Je! Hali Yao inaweza kurejea Kama ilivyokua awali?, Maana uingereza tumeona baadhi ya wanamichezo Kama vile Odoi na Kocha wa Arsenal vipi imekaaje hio.Wanao recover wanakuwa na 30% reduced lung function na wana gasp for breath hasa wanapotembea kwa kasi
Lingekuwa halijafika nchi zao sawa.
China alitaka afiche hili swala milele
Sent using Jamii Forums mobile app
Deal done wazungu washenz sanaGumzo la dunia hivi sasa ni kirusi cha Corona.
Kirusi hiki kimeleta kizaizai na sokomoko kila pembe ya dunia.
Nchini Marekani kuna sintofahamu kubwa.
Hakuna ajuaye mwisho wa huyu kirusi.
Hali hiyo imepelekea kutokea kitu kinachoitwa ‘panic buying’.
Sasa hivi ukienda kwenye maduka-masoko [supermarket] mengi kuna baadhi ya bidhaa kuzipta ni mbinde.
Bidhaa hizo ni kama karatasi za chooni, taulo za karatasi, jeli za kusafishia mikono, na kadhalika.
Rafu za maduka-masoko mengi zipo tupu. Hiyo ni kwa sababu watu wengi wanazinunua hizo bidhaa kwa wingi kuliko ilivyo kawaida. Jambo linalopelekea kuwepo na uhaba wa hizo bidhaa kwa sasa.
Hebu ona hizo rafu hapo chini. Ni kutoka duka-soko la Publix.
View attachment 1388155View attachment 1388157View attachment 1388158View attachment 1388159
Sielewi kwa nini watu wanakimbilia sana kuzinunua hizo bidhaa na kuzihodhi majumbani mwao.
Kwangu jambo lenye mantiki zaidi na bora ni kujiwekea akiba ya pesa kuliko kutumia pesa na kununua vitu ambavyo kama itatokea umeugua na hicho kirusi, havitakusaidia kupata nafuu.
Badala ya kununua dawa, watu wananua makaratasi ya chooni!
Halafu Wamarekani wana tabia ya ku-panic sana.
Corona siyo kiama. Lakini jinsi watu wanavyofanya mambo hivi sasa, utadhani kiama ndo kimefika.
Sielewi. Na wala siogopi.
I ain’t never scared
If you decide to suck your boyfriend’s man meat make sure you rub it with some sanitizer.
Ni mtihani, kwa sababu korona inaathiri hadi mapafu mbali na mafua ambayo yanasababisha upper respiratory symptoms.Je! Hali Yao inaweza kurejea Kama ilivyokua awali?, Maana uingereza tumeona baadhi ya wanamichezo Kama vile Odoi na Kocha wa Arsenal vipi imekaaje hio.
Sent using Jamii Forums mobile app