Corona yasitisha Vita Bara Afrika

Wamegundua ugaidi unalipa kidogo wameamua kuamia kwenye corona kunakowalipa zaidi! Mungu atawanyoosha!
 
Wababe wa Vita barani. Wamejipa lockdown kusikilizia Kirusi Cha Korona. Hakuna Cha Somalia, Congo wala Central African Republic.
**Hakuna mbabe kwenye kubanwa mbavu.
wachochezi wamejifungia fund hawana ya kuuwa watu....nani atawauzia silaha wamejifungia ndani wakilianzisha watakufa
 
Hahahahha wasomali body immunity yao iko chini Sana uwezi amini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…