Wazee huwa hawatoi 7,800 mfano mengi
Wazee huwa hawatoi 7,800 mfano mengi
Nikajua ana utaja mji wa huko Italy kwamba Reo Italy kumbe ana maanisha Leo ya leo tarehe 22..Goddamnit!Reo = Leo?
Ungekua unajaza fomu ya kugombea ujumbe wa kijiji wangekukata kwa kigezo cha kutokujua kusoma na kuandika![]()
Si anapata mchongo wa al shabaab umesahau. Hongera cuteloveVp ile hali ngum iliyokuwa inakukabili imeisha(umeipatia ufumbuzi). Acha kufuatilia habari za vifo utachanganyikiwa tena
793 death to be exact.Reo Italy recorded 700+ death in 24hrs
Don't make a promise you can't fulfill...
Ulitakaje labla 🤔Hivi huku kwetu hatuna wazee...maanake kimya mnooo
Mipango ya shetani lazima amshirikishe mungu haiwezi kuwa kazi ya shetan tuCorona ni mipango ya shetani ashindwe na alegee
Omba Mungu huu ugonjwa usilete majanga huku, Malaria tu inatusumbua huu mpya ndio itakuwa shida hakuna atakayepona.Hivi huku kwetu hatuna wazee...maanake kimya mnooo
Ungemwambia yule anayedai Iran pekee ndiyo waficha takwimu.. Kuniambia mimi ni uzezeta.Hakuna popote hutolewa taarifa sahihi za vifo.
Hata china hakuna anaejua wale waathirika 20 elfu walikoenda.. Huenda waliuliwa...
So piga kimya.
Mkuu, taratibu, huko ndo tunaambiwa ni maeneo takatifuDah! Tuiombee Italy na Iran.
Mungu awanusuru raia wema wa Iran,Spain na Italy.
Hatari sanaUsiende kwa proba nenda kiuhalisia uliopo.... Mwanzoni Iran na China wanachezea namba za juu ilikuwa uhalisia ila baada ya nchi nyingine kuwa na figures kubwa zaidi eti wanadanganya... Usishangae takwimu za Italy zikishuka tukaambiwa nao wanadanganya... Siwatetei Iran na wala mimi si muislamu lakini cheki takwimu hayo maudaku achana nayo... Hizi hapa za asubuhi hii..View attachment 1395606
Sent using Jamii Forums mobile app
Info....Ulitakaje labla 🤔