Corona Mungu ametuchoka

Corona Mungu ametuchoka

Chipukizi

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
4,643
Reaction score
7,120
Ni hivi karibuni Dunia yote ikiwemo South Africa wamehalalisha Ndoa ya jinsia moja China, Irani uhuru wa kuabudu ni sefuri!! USA amehalalisha SODOMA na GOMORA na hata South Africa acha tufe waje kizazi kitakachofata Mungu anataka nini!! Hata Kizazi cha Rutu kiliangamizwa kisa kupenda mambo hayo, sisi ni nani?? UK,USA ,SA wameruhusu ndoa za jinsia moja MUNGU anafurahia hili?
 

Attachments

  • 3185D8CA-B0BD-4447-B14F-5FF61DC404E6.jpeg
    3185D8CA-B0BD-4447-B14F-5FF61DC404E6.jpeg
    9.2 KB · Views: 7
  • D448AAE9-4158-45CF-B60C-631A07F9326C.jpeg
    D448AAE9-4158-45CF-B60C-631A07F9326C.jpeg
    35.7 KB · Views: 5
  • 8C547035-7578-4B2F-A85D-4BE9DB3EAE94.jpeg
    8C547035-7578-4B2F-A85D-4BE9DB3EAE94.jpeg
    32.3 KB · Views: 6
  • D2DD8D1F-1357-4E06-8077-74F93B55DA8F.jpeg
    D2DD8D1F-1357-4E06-8077-74F93B55DA8F.jpeg
    22.3 KB · Views: 6
  • 7BE17928-6277-47F5-AD82-0E4094273327.jpeg
    7BE17928-6277-47F5-AD82-0E4094273327.jpeg
    27.7 KB · Views: 7
kuna jamaa limebinuapua hapo nahisi litakua lina imagine harufu ya kinyesi hapo
 
Corona siyo ghadhabu ya Mungu kwa sababu ya usenge na ndoa za jinsia moja. Ghadhabu ya Mungu haiwezi kuwaelemea wazee, wenye diabetes, magonjwa ya moyo nk.

Ghadhabu ya Mungu usiiombee. Inasafisha kila mtu bila kujali umri wala kabila. Huu utakuwa wake up call kwa binadamu tu ili achemshe akili zaidi kuelekea zama mpya zijazo.

Hii inafanana sana na maandalizi ya kuitawala dunia kwa mfumo wa serikali moja unaotarajiwa kuanzishwa na mpinga kristo. Mpinga kristo ametuma kirusi kutoka jehanum kupima kama dunia ipo tayari kumpokea.
 
Haya majanga yalikuwepo toka enzi na enzi na yataendelea tu kuwepo as long as the world exists.

Hayo ya kuyapima kwa mizania ya ki-imani ni ya watu wasioelewa history. World in harmony is next to impossible.
 
Nyie watanzania mmehalalisha nini mbona corona imewafika?

Mi nadhani corona imeingia tanzania kwasababu nchi imehalalisha wajinga kwa kuwapa kipaumbele kua wanamsaada katika utatuzi wa matatizo kwa kivuli cha miujiza (maombi)

Serikali ilizembea ikidhani kua wanaojiita watumishi wa mungu wataweza kuudhibiti ugonjwa usiingie nchini kwa kutumia power ya maombi
 
Huyu mungu anapata hasira za kumuua binadamu ambaye amesababishiwa dhambi na shetani lakini huyu shetani anamuangalia tu bila kumfanya chochote

mumeo kakuudhi hasira unazipeleka kwa watoto?
 
Back
Top Bottom