Corona ilitabiriwa humu JamiiForums tokea mwaka 2014 hii imethibitisha hilo

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,029
17,966
.
Jamiiforum ni zaidi ya tuijuavyo Jamiiforum kuna watu wengi wenye ujuzi,wachambuzi na wenye maoni timilifu

Hii comment iliwekwa humu na mwanaJf mwenzenu Eiyer mnamo march 10,2014

Na hapa nanukuu comment yake

"
Mkuu unajua mambo yanavyoendeshwa duniani ni ajabu sana

Kuna mwanajeshi mmoja mstaafu wa jeshi la Uingereza ambae baada ya kustaafu alikuwa ni boss wa kitengo kimoja MI6 na liwahi kwenda kwenye mkutano mmoja wa kuzungumzia amani na mustakabali wa dunia huko Copenhagen ambapo alikutana na watu wazito sana duniani

Ajenda iliyokuwa inazungumzwa huko ilimshangaza sana huyo jamaa na kupelekea kubaki mdomo wazi,walikuwa wanazungumzia kuhusiana na kuja kuwatoa mhanga watu wa China na watu wa mashariki ya kati

Walikuwa wanasema kwenye kikao hicho kuwa "Wazee" wa dunia walikuwa wamekubaliana na "Wakubwa" wa China kuwa watawezesha uchumi wa China kuwa imara lakini na wao watakubali kuja kuwatoa mhanga watu wao kwa hao wakubwa wa dunia kupeleka maradhi kule china,maradhi ya mlipuko kama mafua ya ndege n.k wakati muafaka utakapofika kitendo kitakachopelekea dunia kulazimisha kupatikana kwa suluhu ambayo itapelekea kusimikwa utawala wa serikali moja duniani

Ukiyaangalia maneno ya huyo jamaa unaweza kuona kama ni hadithi hivi lakini kwa mtu ambae anaweza kujiuliza maswali kama hayo uliyouliza hapo juu inaweza tu kuona kuwa kuna jambo haliko sawa katika uchumi wa China na inaonekana kama kuna kama jambo lisiloeleweka hivi

Dunia ndivyo ilivyo na kule China kuna Familia moja hivi ambayo kwa wale wanaofuatilia cospiracy theories watakuwa wanaijua,familia hii inadaiwa kuwa na nguvu sana kule china na inasemekana kuwa ndio waliohusika sana na uchumi wa nchi hiyo kufikia hapo ulipo kutokana na makubaliano waliyokubaliana na Illuminati na familia hiyo ni moja kati ya vizazi 13"

Hii comment ukisoma kwa makini utagundua mengi sana yaliyokuja kujiri na hapa ilikua ni mwaka 2014

Wajue Rockafeller Family: Familia tajiri zaidi Marekani na Duniani
 
Hizi sijui huwa ni akili za wapi? Mpaka leo sijaweza elewa. Vijana hamtaki kuchunguza,kusoma mnaini kila kitu.
 
Back
Top Bottom