Corona hakuna nchini, lakini majirani zetu wanayo

Nitaamini vipi kama kuna Corona wakati mimi mwenyewe sina?
Sijazika jirani yangu wala mtaani kwangu sijamsikia mtu akiwa na tatizo hilo.
Wenda majirani inawauwa khofu sio Corona.
 
Nchi ya kishenzi hii! Corona katika epidemiology ina tofauti gani na Malaria, TB and other infectious diseases, kuna siku itatangazwa kuwa hatuna malaria..... wakati tumezungukwa na malaria kwa majirani
Hamia kenya au Rwanda
 
Huwezi kujichunga wewe na familia yako tu wakati watu wanaokuzunguka hawachukui hatua yoyote
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom