Mzimu wa Kolelo
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 2,489
- 7,187
Jamaa acha uwongo kipindi cha CORONA tanzania inatrand ulishawahi udhuria HOSPTARI za SERIKALI.Ugonjwa upo. Watu wanaugulia majumbani. Walioko mahospitalini ni wengi na taarifa hazitolewi. Mwenye kupona na apone. Mwenye kufa ni bahati mbaya. Tunategemea "herd immunity".
Mkuu omba isirudi tena hali ile ilikuwa inatisha na kusikitisha mno.
Sababu hata madokta kwa manesi wenyewe walikuwa wanaogopana achilia mbali mgonjwa.
Sembuse now DOCTA anakupima marelia bila glovu achilia mbali kuvaa Mask