Corona... Corona... Corona kumbe wala....

Big Eagle

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2020
Posts
592
Reaction score
625
Madereva kutoka Tanzania wakutwa na corona Uganda, madereva kutoka Tanzania wakutwa na corona Kenya, madereva kutoka Tanzania wakutwa na corona Malawi, mara Zambia yani ukiwasikiliza majirani zetu kama uko nje ya Tanzania basi unaweza kuhisi Watanzania wote watakufa kumbe wapi! Watanzania tuko tunaendelea na shughuli zetu na hatuna hofu na taarifa hizo tunaziona za uongo msiwe mnatuletea.
 
Acha kupotosha umma, mpaka uugue wewe ndio utajua kuwa corona ipo. Kwasababu unapotosha basi naamuru uipate corona kwa ajili ya kujifunza. Jali maisha ya wenzako sio siasa tumbo.
 
Wametengenezwa hao. Ukitaka kipimo cha mkenya kibaini corona wewe taja kwamba ni mtanzania.
 
Sababu ujaugua au ujafiwa au ujauguza sababu ujaenda hospital mda mrefu.
Kama shule zimefungwa, Kama nahodha kakimbia,ndege haziji hapo unataka upate jibu gani
 


Ni kwasababu haujaenda Hospital ndio ungejua tulikofika
 
Aisee wacha kupotosha madereva wamefia njiani ni wengi waliokufa kwa kubanwa na pumzi
Taja jina la dereva mmoja tu aliyekufa na CORONA na kampuni aliyokuwa akifanyia twende ofisi ya viongozi wa umoja wa madereva wa malori yanayoenda nje ya nchi tukahakiki taja dereva mmoja tu na kampuni anayofanyia na gari namba alilokuwa akiendesha na route aliyokuwa akienda

twende kurasini tu ka confirm


halafu wewe una tabia ya uongo na uzushi sana wewe na kujifanya ohh mimi mdau sekta ya usafiri wakati liongo likubwa tapeli tu la mjini
 
Kumbukumbu UKIMWI uliingizwa Tanzania na Madereva .Kumbuka Watanzania wengi walikuwa hawasafiri sana zama hizo na watu pekee waliokuwa wanasafiri kwenda nje ni Madereva,Kumbuka Madereva wenyewe walikuwa na nyumba ndogo kila kona na wakaleta ukimwi kwa wake zao na wake wa madereva mara nyingi walikuwa wanachepuki waume wakisafiri
 
Ni kweli mitandaoni watu hukuza sana mambo kutokana na maslahi wanayoyajua wao.

Lakini hii haikanushi uhalisia maana ugonjwa upo.
 
Washikaji zangu wengi wako kwenye kampuni binafsi na nikikupa details zote kesho tu watafuatwa na makachero na kuanza kusumbuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…