copy and paste ya DART

copy and paste ya DART

watakuwa na breakdown zao special gari likiharibika within few minutes linatolewa....hayo mnayofikiria leo wataalam wa huu mradi walifikiria 20yrs ago.

Hizo breakdown labda za helicopter, hizi za kawaida zitapita wapi na lane ya mabasi iko moja tu ya kwenda na moja ya kurudi na haziingiliani.
 
Na mabasi yatayokuja itabidi milango ya abiria kupanda na kushuka iwe upande wa dereva.
 
Kuiga si mbaya ila inategemeana na mazingira kama yanaendana. Hizi za kwetu hata kiwango au niseme ubora nimeshaanza kuuogopa!!!! Kama ukibahatika kutembea kwa miguu kwenye hizo barabara za STABAG mlioamua kuwapa tenda kubwa kiwango cha ubora si kihivyo, zimeshaanza kupata nyufa au nisema kuachia kwa zile ambazo zimebandikwa tu. Pia tofali zote walizotenga na kwa waenda kwa miguu cement ni kidogo na zimeanja kuachia kwa baadhi ya maeneo. Sijajua kama wenye mradi wanapitia ipasavyo!!! Naona kuna mapungufu makubwa sana. Tusubiri tuone!!
 
Ma engineer wote walikuwa wachaga, hapo sasa.

Mkuu kwa hiyo umeshawakubali wachagga kuwa wapo kila fani? Tena kwa wingi mainjinia kwa sababu wanaweza kusoma yale masomo magumu kama Maths, Physics, Chemistry!!! Pigeni makofi!!! Wa wa wa wa!!! Mashemeji zangu mpoooo??
 
Wachaga najuwa wapo kila pahala na nnawasifu sana kwa hilo, tatizo lao kubwa ni wizi tu. Siku mchagga hajaiba ujuwe siku hiyo imepita bure, japo ajiibie mwenyewe siku iwe imekamilika.

Na huku kwenye haya utawapata kwa wingi tu; walevi, wakabila, wadini, waongo, wanafik, mafataani, wachawi, wanga, matapeli, majambazi.

Kila sifa mbaya wanayo wao.
 
Hizo breakdown labda za helicopter, hizi za kawaida zitapita wapi na lane ya mabasi iko moja tu ya kwenda na moja ya kurudi na haziingiliani.

kwani hayo mabasi yenyewe yanaingiaje kwenye njia yake??? inawezekana unaongea tu hata hujaona hizo barabara zikoje. kwa taarifa yako kila baada ya umbali fulani kuna outlet/inlet ambazo hizo breakdown zinaweza kuingina na kuvuta basi likiharibika....hivi kweli unafikiri walijenga bila kujua hayo mabasi yanaweza kuharibika???
 
Hizo basi tunaambiwa zitakuwa kila kituo kila baada ya dakika tatu mpaka 5, sasa fikiri kama breakdown inapigiwa simu, ikija baada ya nusu saa (hapo ni muujiza kwa nnvyowajua Watanzania), hizo zingine zitapita wapi? fikiri japo kidogo,, labda unambie basi zitazokuja zitakuwa zina very high level ya repair and maintenance (sijui Kiswahili chake) kabla hazijaanza kazi kila siku ya mungu (huo nao ni muujiza mwingine kwa Tanzania).

Fikiri japo kidogo wacha kukurupuka, kuna majanga yanatungoja, labda yarekebishwe mapema, mwanzo nilikuwa nna uhakika kutakuwa na tunnels za luvukia waenda kwa miguu, kwani nimeshaona nchi nyingi tu zina mabasi ya haraka ambayo lane zake haziingiliani na gari zingine, na pasipo na tunnels za kuvukia abiria basi hayo mabasi huwa pande za nje ya barabara na si kati kama hapa kwetu.

Naona ujenzi unasogea na hakuna tunnels za abiria. Majanga au ikisha kamilika ndio tutaanza kutatuwa matatizo, kama kawaida ya Waafrika?
 
Back
Top Bottom