Mtu Poa 2013
Senior Member
- Mar 26, 2013
- 117
- 85
Habari zenu
Naomba kuuliza kwa anayefahamu makampuni au sehemu ambapo wanauza au kutengeneza vifaa vya madini kwa ajili ya wachimbaji wadogo wadogo, sana sana kama nikipata machine ya ku process copper kutoka machimboni.
Asante