Coping mechanism after breakup/divorce

Coping mechanism after breakup/divorce

Light Saber Imetosha Sasa

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2017
Posts
4,632
Reaction score
8,320
JamiiForums nyumba ya wajuvi , Wajuvi ninawasalimu, Niende Moja Kwa Moja kwenye lililonifanya niandike ..

Ulicope vipi baada ya kuachana na mtoto wa mamkwe..

Let's say mmedate, mmeunganisha families alafu mmecreate.. two made three ila ya Dunia mengi mmeachana ..ila unaugulia a year sasa ..

THREAD KWA AJILI YA WOTE JUST SHARING EXPERIENCE
 
Pole, it hurts kama unachomwa kisu kifuani. Kusali sana kwaajili ya amani kwanza, halafu kujipenda sana (mazoezi, kujitengeza nywele kucha, kujipamper ile mbaya, kula nje peke yako mara moja moja). Yaani unakuwa mtu mpya kabisa.

Yote katika yote, kila kitu kina mwisho. Time heals
 
Back
Top Bottom