Copa America 2021 Final: Argentina Vs Brazil

Kwa ufupi na mm nilkua namuombea mwamba ashinde hili game akastaafu soka kwa amani. Asingekua na amani maishani mwake. Ile mechi ya chile aliumia sana sana sana hadi akatangaza kuachana na timu ya taifa ikabidi rais wa nchi aingilie kati.

Hongera sana Argentina, hongera sana Messi.
Hongera pia kwa Mkuu
Screenshot_20210711-060029_1.jpg
 
View attachment 1849351
La Pulga, GOAT. Kama namuona CR7 alivyonuna huko, chacha kazi ni moya kule Qatar mwakani... patachimbika!
Anune tu, Messi10 anaenda kutwaa Ballon D'or ya 7 mwaka huu, Idadi ya Ballon D'or ambayo CR7 ataibeba mgongoni mwa jezi yake Milele. Kupona kwake, amwombe King Messi10 ashinde Ballon D'or ya 8 mwakani ili akiepuke kikombe hicho...
 
Back
Top Bottom