Copa America 2021 Final: Argentina Vs Brazil

Hivi Amerika ya kusini na E.A umepishana masaa masaa mangapi? Mfano hii fainali imepigwa 3:00 A.m je kule kwao ilikuwa ni saa ngap? Na wao kule Wana masaa 24 kama sisi? Sorry wakuu wengine tumesahau Mambo hayo ya ma time
 
Natumai England na Italy itakuwa bonge la game na si ajabu extra time na penalties. Italy wanajituma sana hivyo wana nafasi nzuri ila nataka Kombe libaki kwa Mama.
Euro ilikuwa nzuri
Nampa England
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
PNC sikuoni kamanda wangu
Mkuuu nakosekanaje kwa mfano
255623069547_status_cc0466ef58e640afb0a6a3ebd4bc4eab.jpg
 
Back
Top Bottom