Sumba-Wanga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 5,353
- 1,235
- Thread starter
-
- #121
Hahaha...kumbe!!
Anyway Watanzania wengi ndivyo walivyo, wakishamfahamu Mungu basi wao hugeuka miungu wadogo wenye kutaka kunyenyekewa...
Lakini ashukuriwe Bwana, kwani yeye husema..."Utafuteni kwanza Ufalme wangu na Haki yangu na hayo mengine yote mtazidishiwa"...
Ukiona mtu anakuwa kikwazo kwa wewe kuutafuta uso wa Mungu, pambana maana pengine hapo ndipo ilipo Haki ya Mungu.
Siku zote mambo ya Mungu hayaji kwa ubwete ubwete...
christine ibrahim hebu tumwamgie contacts za T. B. Joshua tulifanyie kazi swala hili.U a very ryt mkuu,
Umesahau kina Dotnatha,na baadhi ya wabunge,na watu wny vihelahela ndo anakumbatia hata ukienda na kuwe na wa2 km hao utakavyojibiwa utajuta!
....na kuwasiliana na prophet wote tusadiane,kwa kutuma email, km ambavyo wengine wanafanya mpaka prophet atatuelewa
.....Its true that nchi nyingi ma coordinator wa nchi nyingine wako vzr ht km wanamapungufu yao,lkn angalia wanavyoenda nw n then,lkn Tz yaani hiki ni kikwazo!
Bt glory b to God kuna njia ya nyingin,unawasiliana nao online na unaenda fresh 2
Mkuu kwny suala la hela hapa,ni kweli huwa tunatoa 1700dola,bt kurudishiwa i think ni kutokana ulivyotoa...coz tuliotoa 1700 tulirudishiwa laki 4 karibia na nusu hvi....ss labda hyo alitoa chini ya dola 1700
...by the way,naomba kuuliza hivi visa huwa ni sh ngapi? Maana pale huwa tunaambiwa tutoe laki 1
christine ibrahim hebu tumwamgie contacts za T. B. Joshua tulifanyie kazi swala hili.
Tunaomba utusaidie ili tuanze kuwasaliana naye moja kwa moja.
Enough is enough
ngoja niwapigie wa2 wake waingie hum wajionee,maana tukiwaambia m2 wao alivyo wanajifanya hawaelewi
Ni kweli kabisa. Hata mimi nimepewa forms za kujaza na kuambiwa gharama ni hizo hizo.
Tunaomba anayejua gharama za Visa
Can that be another advanced Loliondo ministry under a nigerian "Ambilikile Mwaisapile"?
Shokolokobangoshey Ndio kazi ya JF!Martha mnavyojadili kuwasiliana na TB Joshua straight humu akisoma mavi yanagonga chupi! Yeye alidhani watz bado ni wale wale wa nineteen kweusi! Atajuta kuanzishwa kwa Jf
Shokolokobangoshey Ndio kazi ya JF!
Hongera JF
Can that be another advanced Loliondo ministry under a nigerian "Ambilikile Mwaisapile"?
Can that be another advanced Loliondo ministry under a nigerian "Ambilikile Mwaisapile"?
Unataka kwenda SCOAN. Pitia hapa Visit Us fuata maelezo jaza kama inavyostahili. SCOAN watakujibu na kukutumia barua ya mwaliko. Nenda ubalozini ukaombe visa. Kata tiketi ya ndege ambayo ni stahili yako. Ukifika maswala ya mahali pakufikia utakuta wamesha kuandalia kwa jinsi ulivyo chagua unataka kukaa wapi. Utahudhuria ibada mpaka utakapo ondoka kurudi TZ. Na kweli utasema hakuna haja ya kuwa na Martha TZ ili uweze kwenda SCOAN.