Imany John
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 2,937
- 1,193
You have made my day!
waliotazama Emmanuel TV on Sunday will stand to witness.
Kuna mama mtu mzima alikuwa kwenye wheel chair akapona na kutembea.
Wako wengi sana wa aina hiyo.
hadi wamekwenda Nigeraia, walihangaika bila mafanikio hapa Tanzania
cc mfarisayo una kanisa la upako ambalo unakosa wateja wanaokimbilia huko kwa TB Joshua???
Mungu wa naijeria ananguvu kuliko wa hapa tz.kweli watu mnaangamia kwa kukosa maarifa.
Kweli watu wangu mnaangamia kwa kukosa Maarifa
You have made my day!
waliotazama Emmanuel TV on Sunday will stand to witness.
Kuna mama mtu mzima alikuwa kwenye wheel chair akapona na kutembea.
Wako wengi sana wa aina hiyo.
hadi wamekwenda Nigeraia, walihangaika bila mafanikio hapa Tanzania
cc mfarisayo una kanisa la upako ambalo unakosa wateja wanaokimbilia huko kwa TB Joshua???
Kweli watu wangu mnaangamia kwa kukosa Maarifa
Mmhh kwenda scoan mpaka upitie kwa mwakilishi? Terrific!
Jamaa anatengeza supernormal profit kwenye biashara yake
Kwa kweli watz tuna matatizo makubwa sana, yani afya zetu ni mbovu watoto wengi zaidi ya asilimia 40 wamedumaa, malnutrition nayo imeshika hatamu lakini cha kushangaza badala ya kutumia fedha kidogo tunazopata kuboresha afya zetu na familia tunatumia fedha hizo kidogo kwenda kuwatajirisha watu wengine.
Umaskini hasa wa akili ni mbaya sana heri uwe maskini wa mfukoni/kipato kuliko kuwa maskini kichwani, very simple observation ukienda maene yenye maskini wengi wa kipato utakuta waganga wa kienyeji wengi sana na sasa waganga wengi wa kienyeji wanaamua kujipenyeza katika jamii za wenye kipato kwa style ya dini na ndo tunayaona sijui anointed water 150,000/=
Mnapotosha maana. Tb Joshua angekuwa hata Namanyere watu wangemfuata, hapa swala sio mtu au mahali bali upako alionao mtu. Hata mimi nilikuwa kinyume nae sana lakini baada ya kufuatilia, namkubali.
Mfuatilie na pia kaa na mtu aliyeawahi kwenda mbadilishane mawazo kabla ya vijembe.
Haujafa, haujaumbika! wewe unaye sema vibaya kuhusu watu kutafuta huduma ya uponyaji, haujafikwa na jambo. Wako watu wamezunguka sana bila mafanikio au wanapata mafanikio ya muda mfupi na mambo yanarudi kuwa mabaya zaidi.
Kwa mtu wa Imani, sikulazimishi, ila chukua hili leo litakusaidia NGUVU ZA MUNGU ZINAZOFANYA KAZI KWA WATU (WATUMISHI/MAPADRE/WATAWA......) ZIKO KWA MADARAJA TOFAUTI KWA KUTEGEMEANA NA MUHUSIKA ALIVYOSIMAMA NA MUNGU NA KUTIMIZA MAPENZI YA MUNGU hivyo fahamu mtumishi anaweza akawa anatoa mapepo au kuponya LAKINI kuna ambayo yanamgomea............ na hilohilo lililogoma kwake akienda kwa mtumishi mwingine likatoka kirahisi tuu.
Hili linatokea kwa watumishi wa MUNGU wote ila kwa KIBURI, KUTOPENDANA au KUTOFAHAMU wengi hawaukubali huu kuwa ukweli na pia waamini pia hatujui ndio maana comments nyingi ni za kukejeli wautafutao uso wa MUNGU. Kitendo cha mtu kutoka TZ mpaka Nigeria peke yake ni Imani inayopelekea uponyaji (Au labda Arusha-Dar-Mbeya-Mwanza au popote mtu atakapokwenda Imani ndio msingi na pili nguvu ya yule mtumishi.
Mwisho tujue NGUVU ZA WATUMISHI ZINA LEVEL TOFAUTI TOFAUTI, kama kwenye mambo mengi kuna nafasi ya 1,2,3...... ndivyo ilivyo pia kwa watumishi. TB Joshua ni level nyingine, mfuatilie.
Hivi bado watu wanaacha kazi kuamini haya mambo ya Kikombe cha Loliondo?
Ndo maana tuko nyuma kimaendeleo!
What is the relationship?
Maendeleo yanakuja kwa aspect moja tu ya kwenda Nigeria?
Yaani bado watz wanenda Nigeria kupata maji ya upako kama kile kikombe cha babu wa Loliondo??
Karne hii ya 21?
Je tumelogwa??