XXLIZ acha kumsingizia TB Joshua kwamba anatoa maagizo yote kwa martha. Kuna kipindi martha aliwatoza hela zaidi watu tbj mwenyewe akamwambia awarudishie na habari ziliwekwa mpaka facebook tbj akawatahadharisha macoordinator wote wakumbuke wito wao na wasitafute kunufaika kupitia shida za watu
Siku za hizi karibuni tumeshuhudia watanzania wengi wakijitahidi kwenda kwa Mchungaji T.B. Joshua, wa SCOAN Nigeria kwa maombezi. Hiki kinachotokea kwa sasa ni kielelezo tosha kwamba watu wengi wana mahangaiko makubwa sana na wangependa kumrudia Mungu wao kwa Uponyaji.
Naomba nizungumzie tabia za kukera za Coordinator wa SCOAN hapa Tanzania, Martha. Huyu dada ni kiburi sana, anamajidai, hajali watu, anajibu jeuri, na ku treat watu wazima kama vile wanafunzi wa sekondari. Huyu dada amejisahau, anaona kama vile anafanya kazi White House, amekosa kabisa maadili ya watu wanaosaidia watu wa Mungu. anajipangia tu muda wa watu na siku za kwenda ofisini kwake bila kujali kwamba hao watu wanatoka mikoani, au dar! Hata Dar yenewewe ina foleni, unapowaambia watu wafike Benjamini Mkapa saa moja kamili anafikiria nini? Na hata ukimwambia kwamba unatoka mbali hajali, atakupa jibu la karaha.
Last week wisemen from SCOAN- Nigeria walikuja Diamond Jubilee. Huyo dada aliadhirika sana kwa kiburi chake, kwa maana matendo yake na tabia zake ni tofauti sana na watu wa SCOAN kutoka Nigeria. hakuwapaa watz taarifa za kutosha madhumuni ya safari yao. Hili lilileta usumbufu mkubwa sana. Waliokuwepo Diamon Jubilee ni mashahidi zangu.
nasikia amesusa kuuza maji baada ya kuona kwamba watu wamemsemea,
Typical of Tanzanians behavior, sasa kazi ni yako unasusa nini?
Unamsusia nani?
Kwa nini uliikubali? Kama hutaki si uache?
Kwa kweli huyo dada, ni janga la taifa.
Nimetoa majibu yote niliyoulizwa fuatilia thread za nyuma , anyway kila la kheri katika kuwasilisha malamiko yenu ili Martha angolewe Just after being chosen to coordinate Kenya this year . I stand for wht i know sikuwa hapa kulumbana na mtu wala kumshushua mtu its not my thing. Wanaowajua wawest africa wanajua kuwa sio watu wa kumbembeleza mtu na kupeti pet nawaombea mfike SCOAN not through the coorditor ili mpate Huduma mnayotegemea by Gods Grace !
kwa wale wanaweza kuendelea kumtumia coordinator Mungu awape Hekima na Patience na uvumilivu pale utakapohitajika ili mfikie malengo yenu . ila humu ndani sio sehemu ya kujikweza , nani anamjua nani humu ? Nijikweze ili unisujudie kwa lipi .... I am not perfect and neither are you so... ONLY GOD CAN JUDGE
Hapo hakuna Mungu bali ni biashara kwa kwenda mbele tu......Mtahangaika sana lakini dini ni moja tu nayo ni...........'
| Sno | Jinsi ya kwenda SCOAN | Air Ticket | Ticket Price | Chakula na malazi kwa siku 5 |
| 1 | Kwenda mwenyewe | Lipa mwenyewe | Ethiopia Air Maximum Usd 600 (ukinunua online) | Kulipa mwenyewe Maximum usd 300 |
| 2 | Kupitia kwa Martha | Unamlipa Martha | Usd 900 | Kulipa through Martha Usd 800 |
EH_Mzalendo ulikuwa wapi?????Ndugu wa JF
Nadhani si busara sana kumshambulia Martha Kaaya as a person kwani kila mtu anaudhaifu wake katika eneo moja ama jingine.Hata hivyo ni vyema labda Mama Martha ajichunguze kiroho kwani yamkini naye anahitaji deliverance kutoka katika hasira kali kama wale anaowasaidia kwenda SCOAN.Kwa upande wa pili napenda kuwashauri/kuwaarifu ndugu wanaopenda kwenda SCOAN kwamba si lazima wapitie kwa madam Martha kwenda SCOAN kwani inakugharimu zaidi kwa kupitia kwake kuliko kwenda wewe mwenyewe.
MFANO
Mbali na ughali wa kwenda SCOAN kupitia kwa Martha LAKINI kuna huduma nyingi utazipa pale SCOAN kama utaenda kupitia kwa coordinator madam Martha mfano huduma/maombi na ushauri kutoka kwa wisemen na T.B Joshua hata muda ambao si wa Ibada.Kwa wale wanaotaka kwenda wenyewe naweza kuwaongoza (For free) jinsi ya kwenda SCOAN (i.e. Jinsi ya kupata Visa, Online Ticket na Book Hotel karibu na SCOAN nk).
Sno Jinsi ya kwenda SCOAN Air Ticket Ticket Price Chakula na malazi kwa siku 5 1 Kwenda mwenyewe Lipa mwenyewe Ethiopia Air Maximum Usd 600 (ukinunua online) Kulipa mwenyewe Maximum usd 300 2 Kupitia kwa Martha Unamlipa Martha Usd 900 Kulipa through Martha Usd 800
Ahsante
You are talking nonsense coz you dont know God and you think you can use your foolishness to define Spiritual things. Poor guy, do you think God is gonna rely on your stupid politics? Do you think He needs your votes to decide on peoples destinies? You need to know God first before thinking of your spiritual levels! If you have ever heard anything about God, you dont have to be reminded that in heavenly realms there is neither racism nor professionalism!. Now keep on displaying your ignorance here! shame on you alone!
Siku za hizi karibuni tumeshuhudia watanzania wengi wakijitahidi kwenda kwa Mchungaji T.B. Joshua, wa SCOAN Nigeria kwa maombezi. Hiki kinachotokea kwa sasa ni kielelezo tosha kwamba watu wengi wana mahangaiko makubwa sana na wangependa kumrudia Mungu wao kwa Uponyaji.
Naomba nizungumzie tabia za kukera za Coordinator wa SCOAN hapa Tanzania, Martha. Huyu dada ni kiburi sana, anamajidai, hajali watu, anajibu jeuri, na ku treat watu wazima kama vile wanafunzi wa sekondari. Huyu dada amejisahau, anaona kama vile anafanya kazi White House, amekosa kabisa maadili ya watu wanaosaidia watu wa Mungu. anajipangia tu muda wa watu na siku za kwenda ofisini kwake bila kujali kwamba hao watu wanatoka mikoani, au dar! Hata Dar yenewewe ina foleni, unapowaambia watu wafike Benjamini Mkapa saa moja kamili anafikiria nini? Na hata ukimwambia kwamba unatoka mbali hajali, atakupa jibu la karaha.
Last week wisemen from SCOAN- Nigeria walikuja Diamond Jubilee. Huyo dada aliadhirika sana kwa kiburi chake, kwa maana matendo yake na tabia zake ni tofauti sana na watu wa SCOAN kutoka Nigeria. hakuwapaa watz taarifa za kutosha madhumuni ya safari yao. Hili lilileta usumbufu mkubwa sana. Waliokuwepo Diamon Jubilee ni mashahidi zangu.
nasikia amesusa kuuza maji baada ya kuona kwamba watu wamemsemea,
Typical of Tanzanians behavior, sasa kazi ni yako unasusa nini?
Unamsusia nani?
Kwa nini uliikubali? Kama hutaki si uache?
Kwa kweli huyo dada, ni janga la taifa.
acha imani haba angetubu ibrahim unafikir leo hii angekuwa baba wa imani kuna mambo mengine unatakiwa utamke ili usonge mbele ukiona giza ubnatoka kama ibrahim alivyoondoka akamwacha mzee tera na sasa ni mshindi wa washindi baba wa imani ...so kuna wapendwa wanaitaji kuhubiriwa kwanza yaliyom ndio wabadilike nenda kanisan kwako jiulize wazinzi wangapi nakila siku wanashikwa na mchungaji wenu kichwa kuombewa ..... so mengine sio lazima ushikwe kichwa na mchungaji unaitaji kutamkiwa neno ili uotke hapo na shida zako za ulevi uzinzi nk....(sio wewe) washarikaYaani watu mnataka mnyenyekewe hata kwenye masuala ya kiroho? Embu tubu umuombee acha kulalama kama mjane alozulumiwa urithi wa mumewe
mmh, kama anafanya hayo huyo hamjui mungu anahitaji deliverence kwanza, tb joshua hafundishi hivyo, nasema usipende kusujudiwa bali mungu ndo wa kusujudiwa, na hayo ayafanyayo sio kwa uwezo wake bali uwezo wa mungu
ndugu wa jf
nadhani si busara sana kumshambulia martha kaaya as a person kwani kila mtu anaudhaifu wake katika eneo moja ama jingine.hata hivyo ni vyema labda mama martha ajichunguze kiroho kwani yamkini naye anahitaji deliverance kutoka katika hasira kali kama wale anaowasaidia kwenda scoan.kwa upande wa pili napenda kuwashauri/kuwaarifu ndugu wanaopenda kwenda scoan kwamba si lazima wapitie kwa madam martha kwenda scoan kwani inakugharimu zaidi kwa kupitia kwake kuliko kwenda wewe mwenyewe.
mfano
mbali na ughali wa kwenda scoan kupitia kwa martha lakini kuna huduma nyingi utazipa pale scoan kama utaenda kupitia kwa coordinator madam martha mfano huduma/maombi na ushauri kutoka kwa wisemen na t.b joshua hata muda ambao si wa ibada.kwa wale wanaotaka kwenda wenyewe naweza kuwaongoza (for free) jinsi ya kwenda scoan (i.e. Jinsi ya kupata visa, online ticket na book hotel karibu na scoan nk).
sno
jinsi ya kwenda scoan
air ticket
ticket price
chakula na malazi kwa siku 5
1
kwenda mwenyewe
lipa mwenyewe
ethiopia air maximum usd 600 (ukinunua online)
kulipa mwenyewe maximum usd 300
2
kupitia kwa martha
unamlipa martha
usd 900
kulipa through martha usd 800
Ahsante
Ndio Matatizo yetu watanzania.
Customer care 0%.
Mtu ukihitaji kupata huduma kwa utaratibu na kuhudumiwa kama mteja, eti unadai kunyenyekewa!
We Tanzanians!
We need our heads examined.
What is wrong with us?
Yaani kupata huduma nzuri ni favor?
No wonder Masaburi alisema tunafikria kuwa kutumia makaliao.
Siku za hizi karibuni tumeshuhudia watanzania wengi wakijitahidi kwenda kwa Mchungaji T.B. Joshua, wa SCOAN Nigeria kwa maombezi. Hiki kinachotokea kwa sasa ni kielelezo tosha kwamba watu wengi wana mahangaiko makubwa sana na wangependa kumrudia Mungu wao kwa Uponyaji.
Naomba nizungumzie tabia za kukera za Coordinator wa SCOAN hapa Tanzania, Martha. Huyu dada ni kiburi sana, anamajidai, hajali watu, anajibu jeuri, na ku treat watu wazima kama vile wanafunzi wa sekondari. Huyu dada amejisahau, anaona kama vile anafanya kazi White House, amekosa kabisa maadili ya watu wanaosaidia watu wa Mungu. anajipangia tu muda wa watu na siku za kwenda ofisini kwake bila kujali kwamba hao watu wanatoka mikoani, au dar! Hata Dar yenewewe ina foleni, unapowaambia watu wafike Benjamini Mkapa saa moja kamili anafikiria nini? Na hata ukimwambia kwamba unatoka mbali hajali, atakupa jibu la karaha.
Last week wisemen from SCOAN- Nigeria walikuja Diamond Jubilee. Huyo dada aliadhirika sana kwa kiburi chake, kwa maana matendo yake na tabia zake ni tofauti sana na watu wa SCOAN kutoka Nigeria. hakuwapaa watz taarifa za kutosha madhumuni ya safari yao. Hili lilileta usumbufu mkubwa sana. Waliokuwepo Diamon Jubilee ni mashahidi zangu.
nasikia amesusa kuuza maji baada ya kuona kwamba watu wamemsemea,
Typical of Tanzanians behavior, sasa kazi ni yako unasusa nini?
Unamsusia nani?
Kwa nini uliikubali? Kama hutaki si uache?
Kwa kweli huyo dada, ni janga la taifa.
mzalendo ni kweli kabisa hata mimi nimesema hili kabla ila ni vyema ukaawawekea njia mbadala kuliko figure pekeyake maana hata baibo inasema mavuno ni mengi watenda kazi wachache naona wameanza kuvuna kupitia tb joshua kwa kweli kumnyima mtu maji ya kiroho ni kumnyima uponyaji naitaji kuona dada martha anabadilika kama kweli linafanyika ...kingine iwekwe wazi ni sh ngapi hayo maji yakitokea lagos na bei anayouza martha na tuambiwe tofauti ya feki na origin wasijeingia dhambini wananunuaji kwa imani zao....kumbe yamefunikwa kiwanda cha nani...pale changombe na kushindwa kupata uponyaji ..tunaitaji mwenye uwezo wa kuyapata toka lagos bila zengwe atujulishe jamani yana nguvu si kuchezea
kwa maneno haya ndipo huwa nashindwa elewa mwaabudu nini enyi watu ,nafikiri kitendo cha lile jina tu la SCOAN tayari imesharepresent ile ministry na tunatakiwa iwe treared as all over the world kumtetea huyu dada japo siamini mimaji na mistica hiyo ni ujinga mtupu ,huyu dada anatakiwa a behave hevenly angel nakupresent Yesu kristo na kuwa mfano bora wakuigwa kwa kila amtazamaye nashindwa elewa mwasoma biblia gani ,hata yule mwimbaji alisema wale watu walipomtizama PETRO walijua ni mwanafunzi wa yesu ,kunena ,kutembea na vingine vingi je huyu so called martha anampresent bwana anayemtumikia mentioned Yesu,kunena kwake ,matendo yake je ana uwezo wakuwanawisha watu maskini miguu kama yesu? wacheni bwana mtoa mada ana haki yakulalamika na an bahati sana kama ni mimi namchamba huyo martha live alafu natafuta ustaarabu mwingine wakufika huko nigeria.watu wanamwaibisha Mungu wewe unatetea??Tatizo lako unachanganya mambo ya kiroho na unataka yaendeshwe kwa ustaarabu wa kidunia. Ulimwengu wa roho ni halisi na si huu wa dunia hii. Unachodemand hakina hata u husiano na Mungu kukuhudumia wewe.Why are you fighting Marther as if God has failed to attend you because of her poor customer care as you are calling it! Eti Tanzanian mentality! Dont you know that there is only ONE TRUE UNCHANGING AND UNLIMITED GOD IN THE WORLD AND HEAVENS? Usishangae unashindwa kupokea kutoka kwa Mungu kwa ajili ya kiburi chako na wala si kwa ajili ya customer care mbaya ya Martha.Mungu hafuati ustaarabu wenu wa kidunia.Angalia Naaman mtu maarufu alipona ukoma kwa kujichovya katika mto Jordan. Hakuangalia mito ya kwao ina uzuri gani kunzidi mto Jordan na hakuona kama mto Jordan haukuwa wa hadhi yake. Unashangaza unaposema Mentality za kitanzania et ili uonyeshe utaaluma unyenyekewe hadi kwenye shida zako za kiroho!. Hilo lisahau!. Kwa Mungu hakuna hiyo! Wewe ndiiye unatakiwa kunyenyekea na kutii vile Mungu anakuagiza ufanye. (2KINGS 5: 1 - 14)Kumshambulia Martha ni dalili za wazi za ushamba wa kiroho.
King Kobra umetenda kosa kubwa sana kumtaja T.B Joshua katika hii issue ya Martha.Naomba utambue kwamba T.B Joshua hahusiki kabisa na haya malalamiko dhidi ya Martha.Hii ni Nyumba ndogo ya TB