Wewe ndiye satanist mkubwa tena ni dude jinga lisilokuwa na hata chembe ya kuyajua maandiko!. Pumbavu kweli kweli lisilojua hata application sahihi ya vi mistari lilivyo kariri!. Mtu yeyote wa Mungu hawezi kushabikia roho za viburi na kutakakuabudiwa!. Ujinga mtupu!. Hayo maneno yako ndiyo yana munyu? Shetani ibilisi mkubwa wewe. Wafundishe watu unyenyekevu ili Mungu awainue na sio ujinga ujinga wako wa kishetani hapa!. Pumbavu kweli kweli!
Siamini kaka Great Thinker wana nafasi kwenye maisha ya kiroho.Hebu jikumbushe kuzaliwa kwa Yesu na kuumbwa kwa ulimwengu wewe kama great thinker unaweza ukaelezea kibinadamu?
Upande wangu naamini asilimia mia kuwa wote wanaoenda huko wanataka kuwa na pesa nyingi zaidi.Ukiamini katika roho na kweli kila kitu kinawezekana popote pale ulipo.
NB:Nihatari kwa wale wamtegemeao mwanadamu kuliko Mungu,Mungu yupo na wewe muda wote lakini huamini kama ukimweleza shida zako atakusikia hadi unaamua kwenda kumfuata mwanadamu kwa gharama tena kubwa sana.
Japo siamini katika huu ujinga 'in the name of Mashiku, sorry jesus' lakini mkuu nimependa comment yako! Asante sana.
Nafikiri njia bora zaidi ilikuwa ni kumwambia muhusika na sio kuja kulalamika humu jamvini. Pia mie nashindwa kuelewa kama ni kweli dada huyu anaweza fanya kama mnavyomlalamikiwa kwa sababu wisemen wangeshamwondoa kwenye hiyo nafasi.
Bob Lee Swagger: You could not do or write better than this!Ulichoandika kina matundu mengi tu, na inaonesha aina ya imani uliyonayo!
Hebu angalia hapo pekundu ndio utajua! Eti unaiita ni privilege, nakuapia unapaswa kujua kuwa Mungu ndiye anayewapeleka na kuwaponya hao watu, mtu kufanya upuuzi wa kuwatia watu makwazo eti halafu wewe unaiita privilege kuwa nae, kisa analipia ofisi na kucoordinate safari za kwenda huko, kwani amelazimishwa?!
Unalopaswa kujua ni kwamba hata asingekuwepo, Mungu angeinua mtu mwingine wa kufanya hilo, hivyo wakati unamshauri kiroho kama ulivyosema, mwambie asijivishe umungu mtu kisa ana direct access na prophet, maana hiyo siyo guarantee ya kuingia mbinguni, she has to work her way through it all. Kila mtu ataingia mwenyewe kule.
Ona eti unasema kuwa wale wahudumu wa SCOAN, they tell it to your face na Martha ni cha mtoto?! Huoni hata aibu kuyasema haya humu?! Sijui ulilenga kusifia ama kulaani?! unaleta ushabiki kwenye mambo ya kipuuzi, kwani kuwa mhudumu wa TB Joshua ndiyo standard ya jambo jema na baya?! Kama wanafanya kitu cha kibaya kinabaki kuwa kibaya, so hao unaowasema kuwa ni zaidi ya huyu wa huku kwetu, pata nafasi ya kuwashauri pia kuliko kuja kutetea ujinga humu.
Najua wengi wenu katika hatua mlofikia hamjazoea kuambiwa ukweli jinsi ulivyo.
Imeandikwa wanaojikweza watashushwa !
queeny: asante kwa ushuhuda huu, maaana wenzetu wengine wanatetea tu bila hata kuwa na uhakika.XXLIZ acha kumsingizia TB Joshua kwamba anatoa maagizo yote kwa martha. Kuna kipindi martha aliwatoza hela zaidi watu tbj mwenyewe akamwambia awarudishie na habari ziliwekwa mpaka facebook tbj akawatahadharisha macoordinator wote wakumbuke wito wao na wasitafute kunufaika kupitia shida za watu
Ni neema ya Mungu yeye kuwa ktk position ya ukodineta, anachotakiwa kufanya ni kumwomba Mungu ampe upendo na hekima ya kutoa huduma. Awe mtumishi na sio atumikiwe, awe mnyenyekevu na aone hiyo ni chance ya yeye kuwa mtumishi mwaminifu wa Mungu. Vinginevyo itakuwa kama yuda aliyekaa na Yesu lkn hakupata kuokoka.
Tumwombee mama martha ili ktk huduma anayofanya daima upendo utawale
Tabby taratibu, taratibu, taratibu, punguza pafu hilo...Wewe ndiye satanist mkubwa tena ni dude jinga lisilokuwa na hata chembe ya kuyajua maandiko!. Pumbavu kweli kweli lisilojua hata application sahihi ya vi mistari lilivyo kariri!. Mtu yeyote wa Mungu hawezi kushabikia roho za viburi na kutakakuabudiwa!. Ujinga mtupu!. Hayo maneno yako ndiyo yana munyu? Shetani ibilisi mkubwa wewe. Wafundishe watu unyenyekevu ili Mungu awainue na sio ujinga ujinga wako wa kishetani hapa!. Pumbavu kweli kweli!
Oh, My countrymen good day, Tena wote msipate kukereka wala msipate bughudhaa kifuani.....Tabby taratibu, taratibu, taratibu, punguza pafu hilo...
Tena mkuu ukitaka INSTANT and immediate Response, Baada ya kusujudu una nyanyua mikono viganja juu kumuomba.(kama vile ombaomba) Hapo M/mungu hufurahia Utiiifu wako.Oh, My countrymen good day, Tena wote msipate kukereka wala msipate bughudhaa kifuani.....
Just achana na imani yenye majivuno na kiburi kinacho wasumbua. just karibuni sana Mwenyezzi Mungu "ALLAH"
yupo 24/7 utawsiliana naye direct bila kupitia KATIBU wala Mkurugenzi wa aiina yeyote... Wewe unaingia na kumSUJUDIYA basi. hakuna makubwa kabisa ombi lako litajibiwa "kesha kuahidi" Niombeni niwa jibu.
mkuu mleta mada unajua hata baibo inaposema usimwache elimu aende zake walimaanisha ;;;ni kweli baadhi ya watu wanamlalamikia huyu dada sipendi kuingia kwa undani ila kama mtumishi wa Mungu na ametumwa kwa ajili ya Mungu sidhan anaitaji kuacha kuuza maji yenye uwepo wa Mungu kwa maneno ya bnadamu....natumaini Mungu atamwongoza kubadilika na ni maombi yangu kwako na mimi tuzidi kuombeana lets love leads