Coordinator wa SCOAN Tanzania


Praise the lord, na hongera sana kwa juhudi kubwa za kumtetea Martha.
However, the truth stands.
 
nAOMBA NIWATOE UJINGA NDUGU ZANGU, SIFA MOJA YA MUNGU WETU NI KWAMBA YUPO KILA SEHEMU NA WAKATI WOTE, NI IMANI YAKO TU NA KUMUABUDU KTK ROHO NA KWELI!.
 
uKITAKA USHIRIKA WA KWELI NA MUNGU 1.OKOKA 2.ACHA DHAMBI 3.SOMA NENO 4.MAOMBI 5.TAFUTA KANISA AU WATU WANAOMUABUDU MUNGU KTK ROHO NA KWELI.
 
hAYO MADOLA DUUH! KWA HIYO KAMA MTU HANA NAULI YA KWENDA NIGERIA UPONYAJI ATAPATA WAPI????!!! NA MUNGU WETU ANASEMA YEYE NI BWANA MUNGU WA WOTE WENYE MWILI ....
 
Sumbawanga mimi sio Martha and ila i know martha kiasi and sometimes i try to help her katika mambo mbalimbali as the spirit directs so i am not saying things out of the air , naomba tuwasiliane inbox kama kweli umekwazika sana na unataka kwenda scoan, i have been to scoan more than once with marthas Group so i know what you experienced.
Naomba kukujibu
1.cha ajabu anachokifanya martha ni kuwa anapokea maagizo kutoka kwa prophet on what to do in order to get visitors to visit scoan.she has direct communication to the scoan anytime any day .scoan wanamuamini yeye na sometimes hawezi kufanya chochote bila kuwa directed by scoan lagos and prophet

2
Watanzania wenye access na internet ni wachache thats why Martha is there to help coordinate wale ambao hawawezi kuapply basi sisi wenye acces ya kutumia mtandao kutupa lawama tutumie hii chance kuapply direct tusifanye watu wakakosa chance ya kupata deliverance kwa kumchafua the ONLY BRIDGE that we so far have (maana kuwa na martha na nyodo zake its a priviledge that we should appreciate)
3. Its hard to believe but yes martha pays for the office kiubinadamu huwezi kuamini but yes yes yes and she pays for everything to get you there,..........sasa sijui nikuaminisheje. Thats why i say the truth willl always stand and prevails
4.i believe as human she has , the job is too much for her, i believe anakwazika , anaregret, anaanguka , analia because of this coordinating people who have no appreciation to her humanity.
5.nakubaliana na wewe kuwa hiyo inaweza kuwa ni solution nzuri sana ila kibongo bongo unamfanyia booking mtu then atakupigia kukuuuliza ni dola ngapi? Mwingine atakwambia sijui ofisi ya ubalozi iko wapi? Hela yangu haijatosha nimetumia kwenye hiki na kile .etc believe me we tanzanians are full of excuses and we donot want procedures and systems .
In my poor understanding ni kuwa hii system yooooooote ya kwenda scoan imeratibiwa na scoan wenyewe Martha has no power to do otherwise without the concent of Man of GOD ,believe me she has respect for him and his guidances .
6.wahudumu wa scoan are also not angels they are also guided by the man of GOD and kama utapata neema ya kufika SCOAn utajua kuwa unachokifikiria kuhusu huduma kuwa watakupet pet mpaka uwe delivered sio tena unaweza lia . And they tell it to your face wht you need to be told Martha cha mtoto.

Naomba nimalizie kuwa mimi ni kabwela tu wa kariakoo nimeamua kujibu tuhuma hizi because i have been to scoan iwasaidie watu, hata sasa she is under pressure na anahitaji msaada wa kufanaya hiki na kile ili grupu liende .Tunatakiwa kumwombea kwa Mungu amuinulie watu wa kumsaidia au hata aondoe kibanzi chake kama kipo.. ONLY GOD can be the JUDGE,we are human we are not perfect ,to her she is putting her best self to what she is sent to do by the Lord through the Prophet AND THAT IS WHAT IS NEEDED.majibu yangu yanaweza yasiwe right kwako kwa mtazamo wako but nimeandika ninachokijua kusaidia na sio kwamba najidai kujua sana . I believe in TRUTH
 
My brother or my sister sumbawanga. Do you know kuwa mwanzoni Martha was using her home kama ofisi ya kutoa huduma mpaka akaingiliwa na majambazi wakachukua dola za watu wote walizotoa kwa ajili ya safari at gunpoint ndio akaona aanzishe ofisi far from her home kuepusha such risks and thats why watu wanalipia benki na sio mkononi kwake nauli . Na hata baada ya pesa zote kuibiwa group lilienda tu scoan kkaaaaa chini jiulize ungekuwa ni wewe ungeweza au group lingefail kwenda si mngemuandika magazetini kuwa amewatapeli.
Other contries have no coordinators yani wanafly to tz ili waende scoan kwa urahisi.
"What people dont know they will call NAMES" TB Joshua
 
Mi simfahamu. Ila inawezekana approach uliyotumia ni kama ya mtu anayetaka huduma hotelini. Customer care unahitaji kwani pale kuna biashara gani anayohitaji kupata faida. Upofu wa kiroho unatufanya tushindwe kutofautisha mambo ya kidunia na ya kiroho ndo unaosababisha arguments kama hizi. Tena bora yaliyokukuta inawezekana ni mpango wa Mungu kwani ameepusha mengi yasitokee kupitia wewe mya be u wakala wa shetani
 
wellsaid.
 

hivi hayo maji yameanza kupatikana lini.?
 

1.Kaka kama kweli unashida ya kwenda Nigeria na umeambiwa uende saa moja, kwanini ushindwe kufika?

2.Mbona ukiwa unasafari ya mkoani saa kumi na mbili huwa umeshafika Ubungo?

3.Au unataka kupewa ucoordinator sasa umeamua kufanya kampeni?

4.Je huyo Martha kwanini usingemwambia mwenyewe kama unaona anatenda kinyume na utaratibu wenu wa kiroho?

5.Umefuata utaratibu gani kulitatua hilo tatizo kabla ya kuja Jamii forums?

Kwenye hicho kitabu ambacho TB Josua hukitumia(Biblia) imeandikwa kama mwenzako anatenda kinyume na umemwona muite pembeni mwambie unacho fanya sio utaratibu asipo badilika ongeza mtu mwingine mumweleze asipo badilika mplekeni kwenye mabalaza yenu na asipobadilika mnamtenga.Hebu toa ufafanuzi umefuata utaribu upi?
 
anania sio mimi peke yangu ninayelalamika.
Nadhani umekurupuka kujibu.
Naomba utiririke na huu uzi, utapata majibu yote.

Vulture is a patient bird.
 
Last edited by a moderator:
MVUMBUZI nina hakka kwamba umesoma poist yangu na kuja hapa kuandika.
Naomba chukua muda na utiririke na huu uzi upate majibu yako.

All in all Praise the lord.
 
Last edited by a moderator:
XXLIZ: One simple question.
Kwa nini kama hiyo kazi ni too much for her asiache?
kwani ni kanisa kama la Kakobe?
 
Last edited by a moderator:


@XXLIZ your response leave a lot to be desired.
Tusiongeze pages.

Wewe umefika SCOAN, na wengine wakliofika vile vile wameandika waliyoyaona.
Wewe unamfahamu Martha na uko karibu naye kama unavyosema, umeandika kwa mtazamo wangu.
Hata walioandika hapa wameandika kwa mtazamo wao.

I wish ningekutumia sms aliyotuma Martha Jumamosi. Utafikiria sio yeye.

Viva JF

"Democracy ni pamoja na kusikia usichopenda kusikia". The Late prof Haroub Othman

Praise the Lord.
 
.
Agano la mkristo na Mungu kwa damu ya Mwana wake limepitwa na wakati? Na sasa ni agano la maji ya upako? Hebu tupeni andiko linalounga mkono maji ya upako isije ikawa kwetu kama kwa nabii Balaamu.
.

.
Jamani kwa heshima na taadhima nimeuliza nafasi ya haya maji ya upako na sii tena imani katika damu ya Bwana Yesu? Naona mmejikita zaidi katika kukwazwa na kukwaza kwa mnaemuita Martha badala ya kwa pamoja tuliangalie hili la msingi kabisa la nafasi ya Bwana Yesu katika mwamini? Some one help me p/se maana wivu wa ule uthamani wa ile Damu ya Yesu unanitafuna.
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…