Conversation with a stranger

Conversation with a stranger

CAG wa buza

Member
Joined
Apr 2, 2023
Posts
13
Reaction score
32
Ukikutana na mwanamke"stranger" kwenye bus or wherever halaf ukawa unatamani kupata namba yake lakini unashindwa namna ya kuanza mazungumzo, wewe mwambie tu "YOU SMELL GOOD" akijibu thanks endelea

"I WISH I COULD BE THE REASON FOR" Then continues
 
Humu tujaze tu idea nyingine maana unaonekana ni uwanja wa mazoezi ya thread😄😄😄😄😄
 
Unaanza mbali mkuu wakati ni simple tu gari ikisimama we una nunua chips yai na paja na juice hapo umemaliza kazi
 
Vipo vingi vya kuanzia inategemea upo mazingira gani na mhusika yupo kwenye mood gani
 
Back
Top Bottom