Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,563
- 112,206
Nahitaji control box ya Toyota surf 1kz diesel engen.
Niko Dar kama wewe ni muhusika au unajuwa wapi nitapata hii kwa bei nzuri naomba tuwasiliane.
Nb: hii gari imeuwa control box 2 kwa kupiga short hivyo muuzaji kama atakuwa na fundi mzuri wa umeme wa magari itakuwa vyema zaidi, ieleweke wazi sihitaji mbambaishaji maana wababaishaji ndio wamenisababishia hii hasara.