Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
- Thread starter
-
- #21
Hii ya kusema kwamba wazungu wanampinga Uhuru kwakuwa atawakwamisha ni mbinu ya jubilee kutafuta huruma ya wakenya kumchagua Uhuru.
Ni uhuru huyu huyu ambaye amejaza uwekezaji wake huko kwa wazungu sasa wamuogopee kitu gani? Wazungu hawataku kurisk kwa kuwekeza kwa mtuhumiwa wa ICC ambaye anaweza kuhukumiwa kifungo na hivyo wao wakashindwa kufanya biashara na uwekezaji kwa kushirikiana na serikali ya Kenya.
Kutokana na hilo wapambe wa Uhuru na jubilee wamekuwa wakieneza propaganda hiyo kama njia ya kuwahadaa wakenya wamchague na sitarajii kama hiyo propaganda itawasaidia kiasi cha kutosha.
Duh! naomba niweke wazi kuwa Raila Odinga is my favorite candidate,
kwa hiyo sitapenda kujiingiza kwenye mjadala huu, ila nitasoma comments
tu kuwaelewa zaidi wagombea hawa wawili...
Dah Rutashubanyuma umezivamia hizi siasa za kenya kwa kutanguliza chuki kwa Odinga kama vile unavyomchukia Dr. Slaa huku kwetu.
Hivi nikikuuliza unitajie kitu "tangible" ambacho Uhuru anaweza kujivunia tangu ameanza kuwa waziri katika serikali mbalimbali za Kenya utataja nini zaidi ya kuimarisha ukikuyu? Uhuru amekuwa naibu waziri mkuu kwa miaka hii mitano na pia waziri wa fedha kabla ya kuvuliwa/Kujivua kutokana na kesi ya ICC ana nini cha kujivunia alichoifanyia kenya katika nafasi hizo alizokuwa nazo ndani ya serikali ya mseto?
Labda nikuulize kitu kingine, unadhani wakenya wanaweza kukubaliana na hii ngonjera unayoimba hapa? usinitajie rafiki yangu Kabaridi ambaye amesha declare interest yake kwa jubilee alliance!!
Unafahamu kwamba Uhuru alikuwa anazuia fedha za miradi zilizotengwa katika maeneo ya wapinzani wa Kibaki na kuzielekeza nyumbani kwao? ni kitu gani hasa ambacho unaweza kukitaja kwamba ulikuwa ni ubunifu wa Uhuru akiwa naibu waziri mkuu ama waziri wa fedha?
Mkuu hapa, the message was very clear. kiongozi gani kati ya Raila na Uhuru anaweza ongoza kwa busara. Mimi nimezungumza na supporters wengi wa Raila na kitu ninachoona kwao ni huwa wapofu kukubali tactics za Raila za uongozi ni za kugawanya. Tactics za Raila ni kama zake Moi. Haya yote si maneno yangu. Kwa muda wa miaka tano ambao Raila alikuwa PM na mhsirika dau katika serikali, amedhihirisha haya yote.
Ameeneza siasa zile zake za upinzani kwenye afisi ya PM sio kwa manufaa ya wananchi, bali kwa lile dhana tu ni wakikuyu wako uongozini na wanafaa kupingwa. Ametumia rasilimali nyingi za serikali ku, kuhenda nchi za ngambo kushughulikia masuala ambayo hayatafaidi mwananchi for the short term. You can only talk of warm relations with the outside world, if kila mtu ana chakula mezani, ana afya, anapata mambo ya msingi kama maji nk.
Lingine mimi nampingia Raila ni kuwa he is very blind to the things that a common man needs yaani mambo ya msingi kama zahanati. You cannot go to turkana lol and talk of kuwajengea barabara za kifahari na watu humo hawana hata zahanati za kuwapa matibabu na madawa, hawana bwawa la maji, mawasiliano pia ni tatizo, usigusie hata miundo msingi yenyewe. Kumbuka mavazi ya wasamburu na waturkana ni tatizo ingawa ni kivutio kikuu cha kitalii.
Nilishasome kuwa UHURU created ile project ya economic stimulus plan. Niliona kuwa alikuwa technology minded na he is more of the digital age. alipokuwa waziri wa fedha na uchumi, alitembea na tablet PC badala ya sanduku ya miaka kwenda kutoa bajeti. Tatizo ni kuwa wanaocheza na kuchochea siasa hifanya hivyo kukataa mambo haya. Raila naye ile project yake ya economic marshal plan for NEP ilikwenda vipi, unaweza tuarifu? has any ground breaking/ground-work been done?
I mean Kila kiongozi Raila akiwemo ndani wana strenghnt and weakesses na tusiwe shy kuyafunua.
Ameeneza siasa zile zake za upinzani kwenye afisi ya PM sio kwa manufaa ya wananchi, bali kwa lile dhana tu ni wakikuyu wako uongozini na wanafaa kupingwa. Ametumia rasilimali nyingi za serikali ku, kuhenda nchi za ngambo kushughulikia masuala ambayo hayatafaidi mwananchi for the short term. You can only talk of warm relations with the outside world, if kila mtu ana chakula mezani, ana afya, anapata mambo ya msingi kama maji nk.
Lingine mimi nampingia Raila ni kuwa he is very blind to the things that a common man needs yaani mambo ya msingi kama zahanati. You cannot go to turkana lol and talk of kuwajengea barabara za kifahari na watu humo hawana hata zahanati za kuwapa matibabu na madawa, hawana bwawa la maji, mawasiliano pia ni tatizo, usigusie hata miundo msingi yenyewe. Kumbuka mavazi ya wasamburu na waturkana ni tatizo ingawa ni kivutio kikuu cha kitalii.
Nilishasome kuwa UHURU created ile project ya economic stimulus plan. Niliona kuwa alikuwa technology minded na he is more of the digital age. alipokuwa waziri wa fedha na uchumi, alitembea na tablet PC badala ya sanduku ya miaka kwenda kutoa bajeti. Tatizo ni kuwa wanaocheza na kuchochea siasa hifanya hivyo kukataa mambo haya. Raila naye ile project yake ya economic marshal plan for NEP ilikwenda vipi, unaweza tuarifu? has any ground breaking/ground-work been done?
I mean Kila kiongozi Raila akiwemo ndani wana strenghnt and weakesses na tusiwe shy kuyafunua.
nani aliyeleta mabadiliko ya magari fuel guzzlers kwa mawaziri?si ni uhuru ama ni Rao?uhuru ndiye alileta passats jambo linalofuatwa mpaka na judiciary of late.
Tatizo ni kuwa anachokifanya uhuru hatangazi kwenye baraza kama Raila.Rao talks more and does very little.You just need to look at kibera to understand this.Despite being their mp for decades.
KWA HAYO YOOOTE... Angalia MIKONO yao NANI ana DAMU mkononi? Anayetakiwa na MAHAKAMA ya UN?
Ningependa kiongozi asiye na DAMU za WANANCHI wake MIKONONI MWAKE....
Hili la mikono kuwa na damu nalo ni kitimbi kwa sababu Kibaki na Odinga wanagombania Ikulu lakini wanaoshutumiwa ni Uhuru na Rutto. Napata shida sana kuelewa jinsi Kibaki na Odinga wanavyokuwa hawahusishwi hata kidogo kwenye vurugu zilizosababisha mauaji Kenya 2007!
I second you on this......logic hapa ni rahisi sana, Kenya kulikuwa na vurugu baada ya uchaguzi, The Political Giants were involved, waliopelekwa katika meza ya makubaliano ya amani ni Raila na Kibaki after they shaked hands vurugu zikakoma, hatua zilipoanza kuchukuliwa dhidi ya waliosababisha au ku-engineer hizo vurugu wakafuatwa Uhuru na Ruto, ambao hawakuwepo kwenye meza ya kupatanishwa, kwa kwa kukosa sifa hizo kwa kuwa hawakushiriki, angalia sarakasi hizi, ni wapi imekuwaje hata Kibaki na Odinga 'mkono' huu wa haki ukawakwepa?nngu007 sheria ya uchaguzi iiko wazi uko huria kugombea hadi pale mahakama itakapokutia hatiani..tuhuma siyo hatia.....na kwenye hili la ICC washitakiwa halali ni Kibaki na raila.....to be brutally honest.............
I second you on this......logic hapa ni rahisi sana, Kenya kulikuwa na vurugu baada ya uchaguzi, The Political Giants were involved, waliopelekwa katika meza ya makubaliano ya amani ni Raila na Kibaki after they shaked hands vurugu zikakoma, hatua zilipoanza kuchukuliwa dhidi ya waliosababisha au ku-engineer hizo vurugu wakafuatwa Uhuru na Ruto, ambao hawakuwepo kwenye meza ya kupatanishwa, kwa kwa kukosa sifa hizo kwa kuwa hawakushiriki, angalia sarakasi hizi, ni wapi imekuwaje hata Kibaki na Odinga 'mkono' huu wa haki ukawakwepa?
NYAKIMWE kama haya unayoyasema basi zisiwepo chaguzi ila mataifa yatuchagulie viongozi wetu.........................The rule of law according to the Kenyan election law....................one is innocent until he is convicted by the courts and all remedies of appeal have been thoroughly exhausted.
Kwa hiyo that part of your comment is prejudicial and irrelevant to the Uhuruto rights to run and win Kenyan highest office............
[URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=99145"]Bamzi
, nice one but that will be quickly thrown to the shelf, people do not want to here about leadership that is based on perfomance. Watu wanataka kudanganyana na mambo ya ukombozo mara second liberation, mara tulipigania katiba,...it has been all about self-serving politicians. Lakini katika hiyo sokomoko, kumekuwa na viongozi ambao wametenda kazi ya kuonekana.
moja ni kama ulivyotaja na pia nakumbuka wakati UHURU alikuwa waziri wa fedha, alijikaza sana kupunguza bei ya bidhaa muhimu, lakini alipokwisha oondoka kwenya uwaziri wa fedha, cartels took over wakapandisha bei ya mafuta, ule mswada wa price control ya bidhaa muhimu, hooligans katika bunge walihakikisha imekanyigiliwa na kutupiliwa mbali kama vile walivyoihujumu mswada wa gitobu imanyara ya local tribunal ya kuwajibisha waliosabababisha ghasia za uchaguzi mwaka 2008 for ICC. Hivi sasa wanafiki wamerudi na kuanza kuimba nyimbo za local tribunal!
rutta
Heshima kwako... hawa wakoloni huwa na hii dhana kuwa waafrika hawana "good brains" ndio wakajaribu kucheza shere. hilo swali wengi wameliuliza, kwanini odinga au Kibaki hawatuhumiwi?. Ama what happened to the ten names in the waki envelope. That is why unakuta ICC wanataka kuendesha trials na manufuctured evidence huko uholanzi becasue they are not interested in justice. ICC sio shirika huru, ndiposa juzi ulisikia bensouda akisema itabidid aombe msaada kutoka "big-powers" kama marekani na uingereza watumie kila mbinu ya kulazimisha kenya inetoa ushaidi..That in itself speaks volumes. Halafu Watanzania najua msingi za khoja zao zinaegemea kwa odinga pengine kwa kuwa ni
RUTA..Nakubaliana na wewe kwa mujibu wa sura ya sita ya katiba ya KENYA, ambayo inaongelea masuala uongozi na uadilifu, mtu hatazuiwa kugombea uongozi mpaka ithibitike na mahakama kuwa amekosa,na hatua zote za kukata rufaa,lakini hatuombei ikiwa mshindi hatapatikana katika RAUNDI ya kwanza itakuwaje maana second runoff itakuwa tarehe 10 april siku ambayo kesi dhidi ya William Rutto
na Joshua Arap Sang (Head wa operations at KASS FM International) ndo itakuwa inaanza kusikilizwa,pia tareh 11 april kesi dhidi ya UK na Balozi Dr Fransis Kirimi Muthaura itakuwa inatajwa tena huko hague.ikumbukwe hawa watu wanatakiwa kuwepo physically mahakamani. kwa mujibu wa political analyst wa Nairobi(MAKAU MUTUA) ukichagua viongozi hawa (UHURUTO) utakuwa umechagua leaders who are going no where...