Hii ndio tulikuwa tunatumia kabla ya kupata mtoto ,lakini sasa hivi nanyonyesha na sipati siku zangu ndo maana NFP kama CALENDA,kuchunguza joto la mwili na ute zinakuwa options gumu .kitu hatari hapa siwezi kujiamini ati kwa vile sioni siku zangu basi ni contraceptive tosha maana nilipata siku zangu once halafu zikatoweka ,ninajua next ovolution itatokea kabla sijaona siku zangu.Hii ina maana nikitegemee kunyonyesha tu kama kinga ya mimba the next thing I will realise is pregnanancy again!!!!!!!.No jamani hatuhitaji mtoto mwingine mapema hivyo na pia tunahitaji kufurahia ndoa yetu .Wanandoa wenzagu nipeni uzoefu wenu katika homonal contraceptive au Kama kuna altenative NFP mnayojua kwa mama anayenyonyesha anayoweza kutumia ikiwa hapati siku zake .
Hii ni challenge kwetu tusaidieni tafadhali