Continue to rest in peace FANUEL.....

Continue to rest in peace FANUEL.....

Alikengeuka imani mapema sana na kuolewa kinyume cha imani, yaani na asiye na imani sawa na yake
kuna madhara gani mkafanya tamasha la wapenzi wa sedekia, bila yeye kuwepo?? kwani huyu shemeji yetu anaweza kuzuia sababu za Mungu kuwaponya watu wake??
inawezekana mkifanya kumbukumbu hyo Mungu akambadilisha huko alipo akarudi katika njia iliyo safi
 
kwa faida ya wengine, naomba kuelezwa sababu ya kifo chake, na kuna mwingine hapo juu amesema mwalimu mwakasege alifanya kazi ya ziada kuurudisha mwili wake.

Inasemekana alikuwa na kisukari na yeye alikuwa hana habari. Alizidiwa akiwa kwenye huduma Israel. Kazi ya ziada aliyoifanya naamini ni kusimamia show nzima mpaka mwili ukaja huku bongo.
 
kuna madhara gani mkafanya tamasha la wapenzi wa sedekia, bila yeye kuwepo?? kwani huyu shemeji yetu anaweza kuzuia sababu za Mungu kuwaponya watu wake??
inawezekana mkifanya kumbukumbu hyo Mungu akambadilisha huko alipo akarudi katika njia iliyo safi

Inasemekana mke wake alimpata jamaa hata kabla watu hawajasahau sahau kifo cha mume wake. Na kwa sababu jamaa aliacha visenti, na ukiongezea na michango aliyokuwa anafanya Mwakasege kabla ya mikutano yake kwa niaba ya familia ya Fanuel, nadhani watu wengi walikatishwa tamaa. Akawa tena sio mjane.

Lakini hizi ndoa zina mambo yake. Tunaweza kumlaumu huyo mama kumbe kulikuwa na mengi kwenye ndoa yao.
 
From Sir With Love,

ni kweli, kuna mama mmoja niliwahi kusoma naye chuo, wakati wa kudiscuss social issues akaniambia acha kupenda soda sana kwani unaweza ukawa kama baba yenu(mumewe) anaumwa sukari miaka 15 sasa. ila yule mama alikuwa anatupenda sana vijana,

ila kama wakristo, tunatakiwa kusamehe na kusonga mbele. sie tunatakiwa kuandaa tamasha kwa ajili ya utukufu wa Mungu, tule fleva zake za kutosha then mke wake atajijua na Mungu wake.
 
kuna madhara gani mkafanya tamasha la wapenzi wa sedekia, bila yeye kuwepo?? kwani huyu shemeji yetu anaweza kuzuia sababu za Mungu kuwaponya watu wake??
inawezekana mkifanya kumbukumbu hyo Mungu akambadilisha huko alipo akarudi katika njia iliyo safi
Nilikujibu tu swali lako kulingana na ile post but mimi sio muumini wa ibada za kumbukumbu ya mtu aliyeitwa na muumba wake
 
LuisMkinga,

Unachosema ni kweli. Fanuel na Mwalimu Mwakasege walikuwa na huduma mbili tofauti, japo watu walijua wanahudumu pamoja.

Baada ya kifo cha Fanuel, Mwakasege alijitahidi sana kuikumbuka familia ya Fanuel kwa michango na maombi. Nadhani issue ya kuolewa tena, hata kama ungekuwa wewe ingekubidi ukae pembeni. Mke wa mtu ni mke wa mtu tu.
 
Back
Top Bottom