Mjasiria Akili
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 823
- 372
Kuna chanel 14 zimeongezeka ghaflq kwenye kisimbusi cha continental sijui zimepotea njia au ndio wanaanza kuziongeza manake ni nzuri kiasi chake kwa movie ila hazina majina naona wanazungumza kiarabu na kichina wakiendela hivi itakua poa