Aaaah sijui tutakimbilia wapi. Hawa ndio wanatangazo au walikua nalo-baba akiondoka kwenda kazini ama anahamia kwa jamaa/jirani kula uhondo wa king'amuzi. Naona baada ya TCRA kufanya mambo yao itabidi nitafute jirani aliyekuwa nacho nipate local content hasa habari.