Nunua AZAM wengine wote wanajikongojaNaishi Kunduchi kyenju,nimejaribu kufanya kila kitu sioni mabadiliko
Msaada tafadhali,king'amuzi changu cha continental kinaniandikia no signal wiki sasa, tatizo litakua nini..
Mimi nilikuwa mteja wao lakini hiyo no signal kwao ni kawaida huduma zao mbovu sana sana. I mean hawajui
wanachofanya unaweza maliza hata wiki mbili bila kuona kitu mpaka nikahamia azam tv naona wao siyo wabaya in short wako vizuri.
Registered Office AddressContinental Digital Media Content Ltd.7-C, Ilemela Industrial AreaPO Box 820. Mwanza,TANZANIA.+255 766 249 999 / +255 686 249 999or:A S 100:+255 757999885 / +255 719705353:A S 100:Email us::typing:customerservice@cdmcl.co.tz :typing:
Sawa asante kwa ushauri mkuu ila sasa kuna hii channel ya Emmanuel t.v ndo inayofanya nashindwa kuwahama mana ni favorite channel yangu asee
Duh, sijaona kama continental No signal kwao ni kawaida, hebu fanya auto search, pia hakikisha antenna iko vizuri, pia jaribu kuscroll kinyumenyume uangalie zile channel za mwisho kama zipo (Saudi, Morning Star, NHK) kama hizo hazionekani basi antenna yako ina tatizo.
Azam Tv pia kuna emmanuel TV tena bureeeeeeeeeeeeeeee,Sawa asante kwa ushauri mkuu ila sasa kuna hii channel ya Emmanuel t.v ndo inayofanya nashindwa kuwahama mana ni favorite channel yangu asee
iko kwenye other chanels list...free of charge, ina miezi kadhaaWameweka lini mana haikuwepo
Lalashe takwenya!!!hahah
Saudi inaonyesha na morning star,ila sasa waiiiii...nachoka kabisa mana napata channel chache tu kama 4 ivi
Inaniwekea ka icon kwamba natakiwa kulipia,akati nlikua nazipata bure tu